House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

Kiwanja
Nyashishi
Eneo 30*40
Upimaji shirikishi
Mil 2
0767241001whatsup/Teregram
Screenshot_20190723-145125.jpeg
Screenshot_20190723-145136.jpeg
Screenshot_20190723-145136.jpeg
 
Mecco
Vyumba viwil
Master 1
Dinning
Living rm
Jiko
Sebure
Maji moto/umeme inajitegemea
Bei mil 3 kwa mwaka
Miezi 6√√√
0767241001
Photo1563969955798.jpeg
Photo1563969955798.jpeg
 
Nyamuhongoro
Vyumba vitatu
Master rm 1
Dinning
Living rm
Public toilet
Kiwanja kimepimwa
Bei Mil 28
0767241001whatsup
NB
Wazee wangu wastaafu nyumba za kununua zipo kila kona bei nzuri msihangaike na mafundi, KIUNUA MGONGO kikaishia kwenye RENTA
Photo1564150868004.jpeg
Photo1564150868004.jpeg
 
Mkuu vyumba kimoja kimoja mbona sivioni? Au vyenyewe havipo?
 
Kapage haka tu tutakuwa tunaongelea vitu vingine kabisa hasa vitabu hasa muda wa jioni
Leo ntamuelezea Raisi wa Marekani
Donald Trump kwa kifupi sana ameandika vitabu vingi sana ktk hivyo vipo ,Why we want you to be Rich,The Art of the Deal,Think like Champion nk

Ktk kitabu chake Think like Champion ameelezea mambo mengi sana pamoja na kuwa meneja wa Mike Tyson pia alikuwa anaendesha kipindi cha reality Show (maisha yake ya kila siku ya ukweli)lkn kuna kitu amekisema binafsi nimegundua ni mtu wa aina yake yy alilithi biashara za babayake baada ya kufa,baba yake Trump alikuwa mfanyabiashara wa kujenga nyumba za kifahari, mfn hoteli kama ya Malaika nyumba za kuishi matajiri wakubwa labda kule Capri point,ostebay na kuzipamgisha nk lkn Trump alivyokabidhiwa hiyo biashara akawa na malengo ya kuifanya iwe biashara kubwa duniani akaingia Benk kukopa ili ajenge Dunia nzima kwa bahati mbaya kila akikopa biashara inafilisiwa na benk na alifanya hivyo mara 24
Hadi chupuchupu mali alizoachiwa na babayake zifilisiwe, mwisho biashara ikasimama na kuwa miongoni mwamatajiri kumi wakubwa marekani
Ktk kitabu hiki yy anamtazamo chanya ktk kila jambo na anaamini hakuna msamiati wa kushindwa kwake. Na mwisho anasema ili mambo yako yafanikiwe usiogope changamoto lkn kubwa zaidi nikuwa mbunifu na kukwepa sana wtu ambao wanamtazamo wa wakushindwa ktk kila jambo,KunaSIRI KUBWA SANA KTK VITABU Obama wkt akiwa Raisi wa marekani ktk kipindi chake cha miaka nane kila mwaka alikuwa anasoma vitabu zaidi ya 100 kila mwisho wa mwaka anavibandika istagrama yake (kila mtu anajua Raisi wa dunia alivyo busy)
NB
Viwanja,fremu,nyumba za kupanga na kununua zipo kila mahari taja bajeti yako,wapi, na sifa ya kitu unachotaka Karibuni sana
0767-241001
 
Mkuyuni
Chumba sebure
Bei elfu 60
Miezi 6√√√
Maji/umeme 24/7
Ndani ya fensi
0767-241001whatsup/teregram
NB
Tuambie unataka nyumba ya namna gani,SIS TUTAKUPA NYUMBA KULINGANI NA MAHITAJI YAKO NA UWEZO WAKO tunazo nyumba kila mahari na za kila bei
Photo1564294392230.jpeg
Photo1564294320666.jpeg
Photo1564294357233.jpeg
 
Buhongwa
Nyashishi,Sawe,Bulale,Usagara
Viwanja vipo vingi sana
Bei kuanzia mil 1nk
Vingine vimepimwa na vingine havijapimwa, karibu na barabara au ndani kidogo,mji mpya/ kunawakazi
Eleza sifa za kiwanja chako,bajeti,cha makazi/biashara sisi tutakupatia popote unapotaka Mwanza (hata kama n ktkt ya Mjini)
0767-241001whatsup/teregram

NB1
Nyumba/fremu kuanzia mjini kati hadi pembezoni mwa Mji zipo bei kuanzia elfu 40 hadi mil 70 (unamuamisha mtu ktk fremu yake)karibuni muwekeze kwenu huu mji wetu unakuwa kwa kasi sana hasa kuelekea barabara ya Shinyanga
NB2
Wazee wangu WASTAFU au mnaokaribia kuachana na kazi ninazo nyumba za KUUZA kuanzia Mil 25 nk, unanunua na kuhamia leoleo usije akahangaika na mafundi labda KIINUA MGONGO KIKAISHIA KWENYE RENTA TU

Img-1564317445792.jpeg
Img-1564317381035.jpeg
Img-1564317353469.jpeg
Img-1564317312423.jpeg
Img-1564317284397.jpeg
Img-1564317249195.jpeg
Img-1564317214649.jpeg
Photo1564317073886.jpeg
Img-1564317413617.jpeg
 
Nyakato
Vyumba vitatu
Master komoja
Makabati
Public toilet
Jiko/sore
Dinning
Living room
Umeme/maji inajitegemea
Karibu na barabara
Paveblock parkick
Camera security
Hot shawa
Stendby solar system in case Tanesco wamekata umeme
Bei mil 6 kwa mwaka
0757241001whatsup/teregram
NB
Nyumba zipo nyingi sana kila mahari kila mtu atapewa kulingana na mahitaji yake na bajeti yake karibuni sana wapendwa
Img-1564403254857.jpeg
Img-1564403218410.jpeg
Img-1564403254857.jpeg
 
Nyegezi
Apartment for rent
Three bed room
All Self contained
Full furnished
Living room
Dinning
Fridge
Water dispenser
Sofa set
Music system&full set Tv
Dinning set
Dressing table@room
Electric oven
Jacuzzi
Gas cooker with oven
New washing machine
Store/public toilet
Heaters/standby solar
Fruit trees
Fenced
Parking pave block
Price 500$per month
Contact 0767241001whatsu/Telegram
NB
Our Apartment range from 10,000/= up to infinite Come one come all

NB
Nyumba za kupanga/fremu/viwanja(vilivyoimwa/visivyopimwa) vipo kila mahari bei vinaanzia mil 1.5 na kuendelea karibuni sana
View attachment 1158348View attachment 1158349View attachment 1158350View attachment 1158352View attachment 1158353View attachment 1158354View attachment 1158355View attachment 1158356View attachment 1158357View attachment 1158359View attachment 1158360View attachment 1158361View attachment 1158362
Tukimshawishi auze nyumba na vilivyomo ataiachia kwa shngapi
 
Back
Top Bottom