Nyumba ya kupangisha Mwanza tu

nyumbanzuribeinzuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
476
Points
250

nyumbanzuribeinzuri

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2019
476 250
Nyamuhongoro Taiwan
Nyumba Mpya kabisa
Vyumba 3
Self rm 2
Kuna kanyumba kadogo pembeni kakulala Mvulana wa Kazi
Ndani ya fensi
Dinning &living room
Parking kubwa Sana
Unajitegemea kila kitu
Nyumba zipo kila mahali, ww SEMA unataka wapi,bajeti yako, tutakupatia popote
Bei n Mil 4 kwa mwaka
Anapokea miezi 6(mil 2)
0767241001

NB
N vzr ukaona nyumba za watu ukiwa umejiaandaa sisi tunatoa nyumba kwa mtu yoyote mwenye pesa mkononi,
Unaweza Ukaona nyumba leo, Kesho jioni ukaja kulipia ukakutana MAPANZIA AU WATOTO WANACHEZA NJE(ujue tayali mwezako kakuwahi LAWAMA ZINAAANZA hoo kwanini mmemuuzia mtu mwingine!!!wkt mm nilisema nakuja kulipia leo (mahitaji ya Nyumba n Makubwa Sana)
IMG_20191001_090602_7.jpeg
IMG_20191001_090609_2.jpeg
IMG_20191001_090701_5.jpeg
IMG_20191001_090719_2.jpeg
IMG_20191001_090730_6.jpeg
IMG_20191001_090730_6.jpeg
IMG_20191001_090709_0.jpeg
IMG_20191001_090756_2.jpeg
 

nyumbanzuribeinzuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
476
Points
250

nyumbanzuribeinzuri

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2019
476 250
Isamilo
Apartment
Two rooms self contained
One compound 3 Houses
Full feniture
Opposite Mwanza City council
Electric fence
Full security
Price 1.5 mil per month
Come one come all
0767241001 what's up
NB
We have plenty of houses tell us your wishes plus badget
(Upande wa Isamilo ninanyumba zaidi ya kumi magorofa na za chini sehemu hii wapangaji wake wengi sio Watanzania karibuni)View attachment 1228135View attachment 1228136
IMG-20191009-WA0076.jpeg
IMG-20191009-WA0099.jpeg
IMG-20191009-WA0067.jpeg
IMG-20191009-WA0098.jpeg
IMG-20191009-WA0081.jpeg
IMG-20191009-WA0075.jpeg
IMG-20191009-WA0077.jpeg
IMG-20191009-WA0071.jpeg
 

Attachments:

nyumbanzuribeinzuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
476
Points
250

nyumbanzuribeinzuri

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2019
476 250
Nyamuhongoro
Five rooms
Self contained
Full furniture
Camera security system
Royal family palaces street
Only 30 million per year
0767241001 what's up
NB1
You deserve better palaces.
Ninanyumba za watu wote wajuu Sana,wakati,na wakawaida usiogope kuuliza Kama utapa Bei ya nyumba yako
Photo1570670614642.jpeg
Photo1570670625812.jpeg
Photo1570670756865.jpeg
Photo1570670717651.jpeg
Photo1570670679294.jpeg
Photo1570670495850.jpeg
 

nyumbanzuribeinzuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
476
Points
250

nyumbanzuribeinzuri

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2019
476 250
Apartment
Mwananchi Buzuruga
Vyumba vinne
Vyote self
Bei mil 12 kwa mwaka
Unalipa yote
Hii nyumba Haina vitu vya ndani
0767241001

NB
Jmn ninazo nyumba Kila sehemu bei elfu 40 Hadi mil 5 kwa mwezi, piga simu ukiwa na Kodi ya watu mkononi tutakupa nyumba ya pesa yako TUAMBIE UNATAKA NYUMBA YA AINA GANI,bajeti yako na ni wapi???, tutakupatia hivyo hivyo kulingana na mahitaji yako

Asanteni Sana watu mnaohamia Mwanza hasa wafanyakazi kutoka sehemu mbalimbali wengine nawapangisha hata siwajui kabisa yaani wanalipia huko huko baada ya kuona picha au video

NB
Foreigners your apartment with full furniture available in ISAMILO and CAPRI POINT payment done in $ range 400-3000 per month
Karibuni sana Mwanza. God bless all thank you again
0767241001whatsup
Photo1570672618881.jpeg
Photo1570672320898.jpeg
Photo1570672235291.jpeg
Photo1570672194498.jpeg
Photo1570672168495.jpeg
Photo1570672140022.jpeg
Photo1570672109032.jpeg
 

Attachments:

nyumbanzuribeinzuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
476
Points
250

nyumbanzuribeinzuri

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2019
476 250
Nyakato
Apartment mpya
Vyumba viwil
Vyote self
Living room
Dinning room
Eletric Fence
Bei mil 6 kwa mwaka
Miezi 6 anapokea

NB
Kila mtu atapewa nyumba kulingana na uwezo wake usipo taja Bei tunachokifanya tunakupeleka nyumba nzuri Sana zenye Bei iliyochangamka mwenyew utakili kwamba hizi Nyumba n nzuri Sana lkn kwa kipato changu ntalipia au sitalipia!!!!View attachment 1228165
Photo1570676125652.jpeg
View attachment 1228167
Photo1570676286088.jpeg
Photo1570676125652.jpeg
 

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
27,230
Points
2,000

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
27,230 2,000
Hebu tuyajenge. Mie nina nyumba zangu ziko 4 natafuta wapangaji. ni mpya kabisa zinajitegemea japo zipo kwenye fensi moja. Kila moja na vyumba 3 vya kulala, dinning, sitting, stoo na vyoo. Ziko Kiseke PPF pale kuna kituo cha daladala wanaita Kona ya Buyombe. Ni karibu na baa au tuseme shamba la Kipipa. Bati zake ni rangi ya damu ya mzee. Ni mpya kabisa, ndio natafuta wapangaji.
 

nyumbanzuribeinzuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
476
Points
250

nyumbanzuribeinzuri

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2019
476 250
Hebu tuyajenge. Mie nina nyumba zangu ziko 4 natafuta wapangaji. ni mpya kabisa zinajitegemea japo zipo kwenye fensi moja. Kila moja na vyumba 3 vya kulala, dinning, sitting, stoo na vyoo. Ziko Kiseke PPF pale kuna kituo cha daladala wanaita Kona ya Buyombe. Ni karibu na baa au tuseme shamba la Kipipa. Bati zake ni rangi ya damu ya mzee. Ni mpya kabisa, ndio natafuta wapangaji.
Njoo what's up na picha zake kk
 

nyumbanzuribeinzuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
476
Points
250

nyumbanzuribeinzuri

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2019
476 250
NB

Asanteni san JF kiukweli mmeniunganisha na watu wengi Sana (Goodlack GOZBERT anasema WAKUU JUU)wabongo WEZANGU, wazungu,wakorea na wachina yaani balaah (sorry Kama hujui kiswahili). KWAWABONGO WEZANGU TUKIKUBALIANA MUDA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! na iwe hivyo kunawatu bado wapo Zama za kuleeee madongo kweusi wanazani NIPO FREE MUDA WOTE (na hawapo tayali niwakabidhi kwa mtu mwingine)wanasahau Kama kwenye huu UZI WANGU Kuna watu zaidi ya laki 2 wanasoma na kufatilia, wengine wapo nje ya MWANZA labda wanahamishiwa huku kikazi,wengine wapo nje ya Tanznia/Africa wanakuja kwa Mambo yao. Wanataka Bei ya nyumba KWA DOLLA TU (Kuna wateja wao wanakupa vigezo vyao kwenye Bei kwao sio tatizo kabisa nyumba hata ikiwa Dolla 2000 kwa mwz wanalipa bila TAABU) Mungu awabariki Sana. ASANTENI NYOTE
0767241001whatsup
 

Echililo

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2016
Messages
490
Points
500

Echililo

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2016
490 500
Nitumie picha ya chumba na sebule ulichonacho maeneo ya kangae, mecco au buzuruga au maeneo ya mkuyuni, kiwe na tires, dirisha alluminium,whatsapp namba ni +254708414337 bei isiyozidi hamsini elfu za kiTanzania
 

nyumbanzuribeinzuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
476
Points
250

nyumbanzuribeinzuri

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2019
476 250
NB 1!!!!
Kwenye viwanja AU KUNUNUA Nyumba
Ili nikuuzie kiwanja/nyumba lazima uwe tayali kulipia watu wafatao wether unakuja nao au wakwangu(sitaki Short cut kabisa hapa)
Afisa ardhi
Mwanasheria
Mtendaji au mwenyekiti wa mtaa
Tofauti na hapo sifanyi biashara kwasababu Kuna UCHAFU MWINGI SANA KTK KUNUNUA ARDHI AU NYUMBA
Wote hawa watalipiwa na mteja kwasababu wanatulinda wote we mnunuaji,mm nipiekuunganisha pia na mmiliki wa nyumba au eneo husika.USITOE PESA ZAKO halaka halaka kwasababu tu umelipenda eneo au nyumba kunavitu vingi sanna vipo nyuma yake inawezekana kabis ww na mm hatuvijui
0767241001whatsup
 

Forum statistics

Threads 1,365,650
Members 521,269
Posts 33,351,693
Top