vvm
JF-Expert Member
- Joined
- Jul 18, 2014
- Messages
- 3,253
- Points
- 2,000
Basi futa kauli yakuwa unanyumba zaina ya watu wote ilihali huweki hapa nyumba za sisi wanyonge.....Mwisho kabisa amani itawale ktk maisha yako mkuu, na usiwe mtu wa kutazama mambo kwa njia HASI SANA MKUU