House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

kiwanja cha bei nafuu sana Igombe, Kisesa au eneo jingine lolote ni bri gani??
Vipo Viwanja vinaanzia mil mbili na kuendelea ambavyo vinaupimaji shirikishi pia tunavyo ambavyo havijapimwa kabisa bei zake n mil 2 nk BEI ZA VIWANJA ZINABADILIKA KUTOKANA UKUBWA NA UMBALI KUTOKA CENTER AU BARABARA KUU
noah-silliman-101051-unsplash.jpg
diego-santos-754385-unsplash.jpg
 
Yes hapo mbele kuna ghorofa flani lina frame na upande wa pili pia kuna frame upande wa lena bar ndio maeneo hayo naulizia
Nimekuelewa KK, HIZO FREMU ZOTE HAPO ZIMISHACHUKULIWA (hakuna chumba kipo wazi)ujue SOKO KUU wanalivunja mwenzi huu sasa vyumba Vya Biashara Mjn havitulii unaweza ukakiona Leo kesho ukija unaambiwa kishalipiwa (wale jamaa wote Wa soko kuuu wanahamia mtaani Krbu sana
 
NITAFUTIE MAENEO YA BUHONGWA CHUMA NA SEBULE AU CHUMBA SELF....!

Ambapo ni full security. 0786446650
 
Kila MTU atapangishiwa Nyumba kulingana na uwezo wake msiogope mapichapicha haya HASA NDUGU ZAGU WA KIPATO CHA KAWAIDA NYIE NDIO WATEJA WANGU WAKUBWA NA KILA SIKU krbn sana wapendwa
IMG_20190602_164121_134.JPG
IMG_20190602_164100_844.JPG
IMG_20190602_164201_710.JPG
IMG_20190602_164138_842.JPG
IMG_20190602_164227_151.JPG
 
Sio zaidi ya elf.50 kwa CHUMBA na SEBULE,
Self napo si zaidi ya elf.60
NAHITAJI KUANZIA MWEZI WA SABA,
Japo mwezi huu nikipata ntalipia....
Buhongwa 98% ni Nyumba MPYA
Chumba master single
range 50-70elfu
Lkn chumba na sebure andaa range 80-120 elfu
Bei HIZO nyingine mkuyuni &Butimba,
 
Kanyumba kazuri sana lkn kapo Kisesa huko kana vyumba viwili. kimoja master, sebure,sehemu ya chakula, jiko fensi kubwa, umeme na maji kanajitegemea kila kitu
Bei sasa 90,000/= anapokea miezi sita MWENYEWE KALA VUA NYINGI SANA(Jerraaa) WASIMAMIZI WAPO MUSOMA
IMG_20190602_171913_982.JPG
IMG_20190602_171943_979.JPG
IMG_20190602_172025_261.JPG
 
Back
Top Bottom