Nyumba ya kupangisha inahitajika

Mkereketwa

JF-Expert Member
May 19, 2007
202
25
Wakuu salama,

Ninahitaji nyumba ya kupanga at least iwe na vyumba kuanzia viwili vya kulala, sebule, jiko choo/bafu (siyo lazima iwe na vyumba self contained), fence na parking area. Nyumba iwe maeneo ya Ubungo, Mwenge, Kimara/Mbezi na Tabata. Bei iwe kuanzia 150,000 - 200,000 itategemeana na ubora wa nyumba. Pia maeneo mengine ya Dar naweza kupanga kupanga ila tuna-negotiate kwanza.

Thanks
 
ipo moja hapa sinza vaticani ina vyumba vitatu, sebule jiko. choo na bafu viko nje, fensi na paking ipo. sh 200,000 kwa mwezi. kodi ya mwaka inahitajika.
 
Ukihitaji kwenda maliwatoni usiku wa manane uamshe mtu wa kukusindikiza na abebe panga vinginevyo ukienda kulala uvae daipa, fensi haifui dafu mbele ya vibaka unless ni ya umeme.
 
Ipo moja maeneo ya kimara mbele kidogo ya vyumba vi8.
It's a 3bedrooms self contained(one master bdrm), kitchen, store, dinning, sitting. Floor tiles kote, fence, parvements etc. Ni mpya. Dau ni zaidi kidogo ya utakayo; it's 300 kwa mwezi. - kama unaitaka email me at solutionartz@yahoo.com
 
Vipi suala la maji? umbali kutoka barabarani? na kodi anaweza kupokea ya miezi sita?
 
Maji kama kawaida, mabomba mpaka ndani but no water.
Ila maeneo ya jirani kuna kisima (borehole) yanafaa kwa kazi zote isipokuwa kunywa, ni salty. Kawaida ya maeneo mengi ya Kimara ni kununua maji toka kwenye magari.

Miezi sita atachukua kwa kuanza (first contract).
 
Ipo nyingine kule ubungo eneo la legho ina 3bed rooms, sebule, jiko, choo vipo ndani, haina uzio, 250 anataka mwaka.
 
Ipo moja maeneo ya kimara mbele kidogo ya vyumba vi8.
It's a 3bedrooms self contained(one master bdrm), kitchen, store, dinning, sitting. Floor tiles kote, fence, parvements etc. Ni mpya. Dau ni zaidi kidogo ya utakayo; it's 300 kwa mwezi. - kama unaitaka email me at solutionartz@yahoo.com

Natafuta nyumba kama hii kaka japo kimara sipapendi sana compared to survey na mwenge. Nitakutumia email unipe more info.
 
Ipo moja maeneo ya kimara mbele kidogo ya vyumba vi8.
It's a 3bedrooms self contained(one master bdrm), kitchen, store, dinning, sitting. Floor tiles kote, fence, parvements etc. Ni mpya. Dau ni zaidi kidogo ya utakayo; it's 300 kwa mwezi. - kama unaitaka email me at solutionartz@yahoo.com
Du room 8 ishakuwa crib za masupa star wa marekani
 
Jamani mini nitaomba contact zenu wale ambayo wanacontacts za hizi nyumba zakupangisha. Mimi natarajia kuanza kutafuta mwezi wa pili. Natafuta nyumba ambayo ina vyumba viwili, sebule, jiko, choo na bafu ndani, ikiwa fenced itakuwa bomba. Na iwe karibu na barabara. Maeneo - K"nyama - First choice, Msasani, Makumbusho, Mwenge, Sinza na Kinondoni. Budget 280,000 na ikiwezekana kulipa miezi 6 kwanza... fresh.. Asante
 
Kwa maeneo uliyotaja Jiandae kwa 300,000/= hadi 350,000/=!!
 
Nafikiri njia nzuri ya kupata haraka ni kwa kutumia madalali!!usiogope kutoa kodi ya mwezi mmoja!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom