Nyumba ya kupanga

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,027
1,250
Ipo Mbezi kwa Msuguri Ina vyumba vitatu vya kulala (kimoja self contained),

sebule, jiko, Choo cha nje. Kodi ya pango shs 250,000 kwa mwezi.
Kodi ya miezi sita

inapokelewa.


kwa maelezo ya ziada piga simu 0755312233 au

tembelea: kitomai.blogspot.com

 

Attachments

  • DSC06339.JPG
    File size
    41.4 KB
    Views
    108

Ngoreme

Senior Member
Dec 6, 2010
129
0
kwa wale wanaohitaji viwanja maeneo ya tuangoma karibu na mradiwa nssf wanipigie niwalink na mwenyemali tamani kumiliki nyumba
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom