Nyumba ya kupanga Tanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya kupanga Tanga

Discussion in 'Matangazo madogo' started by carmel, May 12, 2010.

 1. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Jamani ndugu zangu wapendwa, kuna mdogo wangu anatarajia kuhamia Tanga kikazi na kwa hivi sasa anatafuta nyumba ya kupanga. Kwa kuwa anaanza maisha na mambo ni mengi anatafuta nyumba ya vyubma viwili vya kulala, sitting room, jiko na choo. Maeneo ya raskazone ndo anayopendelea japokuwa si mwenyeji wa Tanga anakaribisha ushauri wa maeneo mengine yanayofaa. Budget yake ni 70,000 kwa mwezi. Asanteni.
   
 2. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2010
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145

  oooh kumbe Tanga nyumba kupanga bei poa namna hii!
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  70,000 nyumba ya vyumba viwili vya kulala ni kawaida mikoani. 100,000 unapata nyumba bomba sana
   
 4. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #4
  May 14, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Habari wana JF
  Kuna rafiki angu anayo nyumba vyumba 3,kimoja ni masta ina choo na bafu , sebule, dining,jiko,choo,bafu,stoo, ina vyumba vya nje 3 na choo ipo barabarani kabisa,ina eneo kubwa ni nyumba za NHC na 16 Majani Mapana Tanga mjini. Kodi laki na Ishirini kwa mwezi maji yapo full time na umeme upo. kwa maelezo zaidi wasiliana nae kwa namba 0714143123, Maongezi ya Kodi yapo. mita mia kutoka barabara ya Kapico Road, ipo barabarani. Karibu CAMEL:A S clock:
   
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  akichelewa kupita huku hataiona, ukimPM inakuwa vizuri zaidi
   
 6. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  thanks nishaiona post hii. nimechonga nae hope mambo yatakuwa sawa.
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,756
  Trophy Points: 280
  Ukifanikiwa usiache kuniambia. Isitoshe hujasema huyo mdogo wako ni wa kike au wa kiume?
   
 8. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #8
  May 17, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ni msichana lakini wewe si unae mama matesha?
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  May 17, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,756
  Trophy Points: 280
  Haijalishi, sijamwelekeza duka la silaha. Aftaroo anaelewa fika kuwa figa moja haliinjiki chungu.
   
 10. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #10
  May 17, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Chrispin Hujaoa?
   
 11. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #11
  May 17, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kumbe wewe mwenzangu eh! Hata yule dogo wa ITV ametuacha kwenye mataa!
   
 12. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #12
  May 17, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  changamkia deal hilo
   
 13. RR

  RR JF-Expert Member

  #13
  May 17, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Hapa kama macho yangu hayajaathiriwa na tbl, basi hii thredi inazungumzia nyumba ya kupanga, tena Tanga.
   
 14. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  hapa naona hatasumbuka na nyumba! tena atapata ya buree, ina kila kitu ndani-na ki-RAV4 gereji.
   
 15. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nashuruku sana woote Best angu ameshapata mupangaji kwani sasa atakuwa amepata nyumba ya maana sana. Sasa Camel nashukuru sana na Wana JF woote waliotoa michango yao. Asanteni sana JF
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,756
  Trophy Points: 280
  Nina mke mrembo ninayempenda sana.
  Nina watoto wanne kila mmoja na mama yake.
   
Loading...