Nyumba ya kupanga Morogoro

abackuk

Senior Member
Jan 6, 2014
193
187
Nahitaji nyumba ya kupanga morogoro mjini bajeti isizidi 350,000 kwa mwezi.
 
Nahitaji nyumba ya kupanga morogoro mjini bajeti isizidi 350,000 kwa mwezi.
Aisee!, ngoja nijenge nyumba za kupangisha...kumbe ipo hivi. Nakushauri waone Munyu (hao ni madalali). Ila uwaelekeze vizuri maana kuna nyumba ni nzuri sana zimejengwa kwenye mikondo ya maji...ukipelekwa huko msimu wa mvua gari yako haitatoka na wewe utatoka ukiwa umevua viatu. Kwasasa mvua imeisha huwezi jua wapi maji yanajaa na wapi hakuna maji
 
Hao madalali wanapatikana wapi au mawasiliano yao dunda boy?
 
morogoro kwa 350,000 unapanga nyumba ya maana sana...

ukiona nyumba ya ajabu ajabu ujue umepigwa..

nyumba zinazopangishwa dar kwa laki 5 kwenda juu.. morogoro ni laki 3
 
Mkuu ila hiyo hela ni kubwa sana....hakikisha unapata nyumba nzuri sana kwa mkoa wa Morogoro. Angalizo tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom