Aisee!, ngoja nijenge nyumba za kupangisha...kumbe ipo hivi. Nakushauri waone Munyu (hao ni madalali). Ila uwaelekeze vizuri maana kuna nyumba ni nzuri sana zimejengwa kwenye mikondo ya maji...ukipelekwa huko msimu wa mvua gari yako haitatoka na wewe utatoka ukiwa umevua viatu. Kwasasa mvua imeisha huwezi jua wapi maji yanajaa na wapi hakuna majiNahitaji nyumba ya kupanga morogoro mjini bajeti isizidi 350,000 kwa mwezi.
Tuwasiliane 0754026030Nahitaji nyumba ya kupanga morogoro mjini bajeti isizidi 350,000 kwa mwezi.
Nicheck inbox kiongoz i ga it....Kihonda mitaa ya bimaNahitaji nyumba ya kupanga morogoro mjini bajeti isizidi 350,000 kwa mwezi.
0714681008Hao madalali wanapatikana wapi au mawasiliano yao dunda boy?
Forest umeme ni 24 hrs na maji pia ila kihonda mwezi wa 7-8 maji ni shida sana Mkuu.Kihonda,forest