Nyumba ya kupanga ipo Kiseke - Mwanza

Makiyuve

Member
Sep 7, 2010
56
0
Jamani kuna nyumba ya kupanga inapatikana maeneo ya Kiseke PPF Mwanza, ina vyumba vitatu, self contained, ina master bedroom, na vyumba vingine viwili, ina maji na umeme, ina fensi na gate sh. 250,000/= kwa mwezi.
 
Habarini za jioni wanandugu? mie naombeni msaada wenu.natafuta nyumba ya kupanga Mwanza,maeneo ya ghana au maeneo mengine lakini isiwe mbali sana na mji na maeneo yanayopatikana usafiri kiurahisi.
 
Kuna nyumba ya kisasa kitangiri. Ina uzio na nyumba ndogo la mlinzi. vyumba vinne including master. Parking inatosha hata magari matatu, VX. Uwezo wako kiasi gani
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom