Nyumba ya kupanga inahitajika!

Mangi wa Rombo

Senior Member
Sep 25, 2014
169
101
Habari!

Inahitajika nyumba ya kupanga yenye sifa zifuatazo:
1. Vyumba viwili vya kulala
2. Sitting room
3. Fenced (yenye uzio)
4. Parking space
5. Umeme wa kujitegemea (sio kushare)

Eneo: Mbezi Beach Aficana, Kawe zinapoishia daladala, Mecu Mbezi Beach au hata Makongo ila karibu na barabara

Budget: 250K uwezo wa kulipa 6 Months

Kama unayo tafadhali weka picha hapa au nitumie kwenye +255625919817 (whatsApp Available)

Natanguliza shukrani zangu!
 
Budget yako ipo chini kiongozi ukifika laki 3 piga hii namba 0714787795
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom