Nyumba ya kupanga (chumba na sebule) sinza Inahitajika.

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,635
3,658
Wakuu ninahitaji chumba masta na sebule. Maji yawepo. Nyumba iwe standard, ya kuishi kijana anayejipenda. Iwe karibu sana na barabara.. Sinza, Maeneo ya mawasiliano, Mwenge, Kinondoni, River, Kimara, Tegeta, nk...
Haya kazi kwenu. Kama unayo weka namba hapa nikupigie

NB. Inahitajika kabla au kuanzia 10/06/2017
 
Nataka pia ya sifa hizohizo kuanzia tar 1/6/2017 maeneo ya tegeta, ofa yangu mwisho ni 100,000. Mwenye nayo PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom