Nyumba ya kupanga Bwiru Mwanza

TEAM VIBAJAJI

JF-Expert Member
Oct 9, 2016
1,858
2,286
Habari zenu wakuu,kwa mwenye uhitaji wa nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili na sebure ambapo kimoja wapo ni master pia inajiko na choo cha nje ipo ndani ya uzio maji na umeme vipo bei kwa mwezi ni lakimbili na unalipia miezi sita kwaatakaehitaji karibu pm
 
At a picha hutaki kuweka mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom