Nyumba ya kununua inahitajika haraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya kununua inahitajika haraka

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, Dec 7, 2009.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,036
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Nyumba ya kununua inahitajika haraka kwa ajili ya kununuliwa. Iwe maeneo ya Kijitonyama au eneo la kinondoni. Kiwanja chake kiwe na Hati miliki(Tittle Deed), Bei isizidi 100mil. Na ikiwa kuna kiwanja bei yake isizidi 80mil.
  Nyumba hii au kiwanja kinahitajika kwa ajili ya matumizi ya kiofisi hivyo kiwe eneo ambalo itakuwa rahisi kumuelekeza mtu afike bila usumbufu.
  Na kisiwe katika mitaa ambayo ina msongamano wa familia nyingi.
  Mawasiliano. 0717114409 au 0755312233
   
Loading...