Nyumba ya kisasa inauzwa bei powa kabisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya kisasa inauzwa bei powa kabisa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Akiri, May 25, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ni nyumba nzuri , ina vyumba vinne vya kulala. sehemu ya chakula, jiko na kusomea.ujenzi wake umekomea katika hatua za mwisho kabisa. hivyo mnunuzi atamalizia matengenezo yake. bei yake ni 24,000,000/= Unaruhusiwa kulipa kwa awamu. ipo mbagara chamanzi. kwa anayetaka kununua 0657 14 5555, 0686 200 117.
  nyumba[1].jpg
   
 2. M

  MANAKE MKARI Senior Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kiwanja ilipo hiyo nyumba kina ukubwa gani? Umeme ukoje huko.
   
 3. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Je kiwanja kimepimwa?
   
 4. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Dah Hii Nyumba ingekuwa mitaa ya mwanza....sasa hivi mkuu ungekuwa na cash yako mkononi...Mbagala sasa bei chee sana labda kuwe na reason ingine kabisa ya kuiuza either ina mgogoro au shida kuwa sana.

  Kila la heri.
   
 5. A

  Akiri JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  umeme ni poa , unaweza kuvuta tu , kiwanja nafasi iliyopaki unaweza kujenga ukuta na ndani ukapaki magari 2
   
 6. A

  Akiri JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  ndiyo kimepimwa una swali lingine?
   
 7. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  si ulikuwa unauza millioni 30,sijui 35????lol

  mie nasubiri ishuke tena :happy::happy::happy::happy:
   
 8. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  We noma, nilirudi kuangalia tangazo maana nafikri ilikuwepa before may.
   
 9. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Good house, kama ni kulipa kwa awamu unataka angalau advance ya shs ngapi?
   
 10. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  kasepa...
   
 11. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Bei nzuri....... lakini ni MBAGALA.
   
 12. A

  Akiri JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  sawa mkuu, nashukuru Mungu tayari imenunuliwa. na zingine nyingi zipo
   
 13. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,605
  Trophy Points: 280
  Jestina utakua umechanganya na ile ilikua either Kipunguni au Kitunda kama sijakosea
   
 14. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ya million kumi ipo? lol....
   
 15. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  bei nzuri mno!!!
   
 16. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mkuu una website tuzione?
   
 17. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,245
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  hiyo Jumba kama haina Mgogoro wa Urithi kweli??
  kama vp ni PM nakukatia 2.5 mkononi!
   
 18. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Hii iko high density area ila nina wasiwasi ni mbuzi ndani ya gunia. Be careful!!!! Ukiitaka hii nyumba ukishaiona we rudi taratibu kwa majirani wape soda upate story, ukiona story haina shida, rudi manispaa kafanye search maana anasema imepimwa!!! Halafu kabla hujanunua ulizia kama alinunua hiyo sehemu, kama ni ndiyo pata origina hati tena ile ya kienyeji i.e ya awali kabisa ya mtaa pale na ona viongozi wa mtaa wape soda watakupa story zote!!! Properties zina shida sana siku hizi hasa zinazotangazwa kwa bei ndogo!!!! Chukua maoni yangu kwa manunuzi ya properties hata kama si nyumba, you won't regret!!
   
 19. A

  Akiri JF-Expert Member

  #19
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  uko sahihi . mimi ni dalali na nyumba hii tayari imeuzwa. vyote ulivyoandika wanunuzi wa kweli wamefifanya na wamelipa. Asante kwa ushirikiano
   
Loading...