Nyumba ya kisasa inauzwa 250mil


Njalaliko

Njalaliko

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2016
Messages
327
Likes
98
Points
45
Njalaliko

Njalaliko

JF-Expert Member
Joined May 9, 2016
327 98 45
_
 

Attachments:

Njalaliko

Njalaliko

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2016
Messages
327
Likes
98
Points
45
Njalaliko

Njalaliko

JF-Expert Member
Joined May 9, 2016
327 98 45
0717 650800
 
Mustaphagentleman

Mustaphagentleman

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Messages
4,004
Likes
2,913
Points
280
Mustaphagentleman

Mustaphagentleman

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2016
4,004 2,913 280
Eka ngap au Square Metres ngap
 
G

glory to yhwh

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Messages
689
Likes
556
Points
180
G

glory to yhwh

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2013
689 556 180
Inauzwa pamoja na ivo vitu ndani yake
Ina vyumba vingapi mkuu
Eneo lake kwa ujumla ni ukubwa gani
Ndani zaweza kupaki gari ngapi ndogo
 
Njalaliko

Njalaliko

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2016
Messages
327
Likes
98
Points
45
Njalaliko

Njalaliko

JF-Expert Member
Joined May 9, 2016
327 98 45
Inauzwa nyumba tu, roughly ina ukubwa wa 1 acre(miguu 70 kwa 70) ina vyumba vi3.... 1master
 
Njalaliko

Njalaliko

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2016
Messages
327
Likes
98
Points
45
Njalaliko

Njalaliko

JF-Expert Member
Joined May 9, 2016
327 98 45
Bei INAZUNGUMZIKA wakuu....! ni nyumbani hapo!
 
Njalaliko

Njalaliko

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2016
Messages
327
Likes
98
Points
45
Njalaliko

Njalaliko

JF-Expert Member
Joined May 9, 2016
327 98 45
Ukitaka complete na fanicha za ndani, pia tunaweza kukaa mezani tukazungumza!
 
RGforever

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Messages
6,923
Likes
3,228
Points
280
RGforever

RGforever

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2011
6,923 3,228 280
Inauzwa nyumba tu, roughly ina ukubwa wa 1 acre(miguu 70 kwa 70) ina vyumba vi3.... 1master
Kumbe we ni dalali... roughly inamaana huna uhakika
 
M

mossad 03

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2013
Messages
495
Likes
216
Points
60
M

mossad 03

JF-Expert Member
Joined May 15, 2013
495 216 60
Nahitaji serious buyer jamani, maneno ya chooni siyapendi!
Ndani ya maswali ya wadau kuna issues za maana tho hawaulizi kwa namna nzuri
Kiwanja chake ni ukubwa upi exactly?

Issue ya ownership tenure ikoje?mmepima eneo lenu na kuna hati kabisa(tittle deeds) maana maeneo mengi ya mbezi ya morogoro road hayajapimwa kila mtu anapiga kivyake or kwa kuungana na majirani

Ownership in term of landlord ni nani,nyumba ya spouses(couple,,ya urithi au ya mtu mmoja(ina effects kwenye proccess ya mauziano na kubadilisha umiliki
 
J

jhrcc

New Member
Joined
Dec 29, 2015
Messages
1
Likes
1
Points
5
Age
48
J

jhrcc

New Member
Joined Dec 29, 2015
1 1 5
Na pia sio kweli kuwa hiyo nyumba ina kiwanja chenye ukubwa 70*70.. Hiyo kwa makisio ya haraka ni 15*20. Nawaunga mkono wadau huyu jamaa ni dalali
 
M

muongozaji

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2009
Messages
1,381
Likes
961
Points
280
M

muongozaji

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2009
1,381 961 280
Na pia sio kweli kuwa hiyo nyumba ina kiwanja chenye ukubwa 70*70.. Hiyo kwa makisio ya haraka ni 15*20. Nawaunga mkono wadau huyu jamaa ni dalali
Nafikiria hivyo pia. Nyumba yenye 3 rooms na 1 room tu ndio master halafu only gari 1 ndogo ndio inaweza kupaki haiwezi kuwa na ukubwa huo aliouelezea. Unless kama kuna eneo la nje la hicho kiwanja lililobakia/lililowazi. Tatizo jamaa taarifa hazitoi kwa uwazi zaidi na akiulizwa kwa tone asiyoipenda yeye anakuwa mkali....
 
kikulacho...

kikulacho...

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Messages
276
Likes
154
Points
60
kikulacho...

kikulacho...

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2015
276 154 60
Huyo dalali kuna mtu alipost hyo nyumba inauzwa 200 M tsh siyo hyo 250 anayoitaka yeye
 
Njalaliko

Njalaliko

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2016
Messages
327
Likes
98
Points
45
Njalaliko

Njalaliko

JF-Expert Member
Joined May 9, 2016
327 98 45
Nyumba ni ya nyumbani, mimi ni mtoto wa kwanza NAISIMAMIA.. serious buyer anitafute kwa namba hizo nitamjibu atakachoniuliza.... PERIOD!
 

Forum statistics

Threads 1,235,885
Members 474,808
Posts 29,239,536