House4Rent NYumba ya kisasa inapangishwa mbezi mwisho (KIMARA) 350k

NAREI

JF-Expert Member
Mar 10, 2017
1,730
1,648
Nyumba inapatikana Mbezi mwisho.
Kutoka stand mpya ya mbezi ni mwendo wa dakika nane kwa miguu mpaka kwenye Nyumba.
MAELEZO
Nyumba ina vyumba vitatu kimoja ni self-contained room.
Sitting room, jiko, dinning na store.
Ina mfumo wa Maji ya moto kwenye bafu za kuogea.
Full tiles, gypsum plus aluminum Windows.
Ina fensi na parking ya kutosha.
Kodi ni 350k (×6)
0756 832833
IMG-20190104-WA0164.jpeg
IMG-20190104-WA0153.jpeg
IMG-20190104-WA0166.jpeg
IMG-20190104-WA0158.jpeg
IMG-20190104-WA0142.jpeg
IMG-20190104-WA0155.jpeg
IMG-20190104-WA0159.jpeg
IMG-20190104-WA0161.jpeg
IMG-20190104-WA0145.jpeg
IMG-20190104-WA0144.jpeg
IMG-20190104-WA0162.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapungufu:

1. bila shaka bado mpangaji aliyepo bado hajaondoka (ushahidi picha ya kwanza hapo juu)
2. rangi rangi rangi. ukuta hasa wa ndani umechakaa sana (tazama picha zote hapo juu)

Hivo basi sijavutiwa na nyumba kiasi cha kumshawishi baba Debo aje aione.
Yaani hii nyumba hamna tu, nafuu hata ya dalali Tunzo aliyopost jana.
 
Mbona nyumba nzuri.. bei nzuri..
Mkuu mpotezee huyo sio mteja
Pia mama debora umeshakua mtu mzima hiyo ni biashara ya mtu kama hujapenda pita tu sio lazima ucomment!
Ndio mana nikasema wa ni dalali nini
Kama ww si dalali basi ww ni mchawi,
Mchawi si lazima tunguli! mchawi wa biashara za watu.
 
Mpangaji yupo halafu pawe open kila mahali? I.e Sitting room, jikoni.
Labda ungesema Nyumba inahitaji kupigwa Rangi upya kwa maana imekaa mda sasa bila mpangaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona nyumba nzuri.. bei nzuri..
Mkuu mpotezee huyo sio mteja
Pia mama debora umeshakua mtu mzima hiyo ni biashara ya mtu kama hujapenda pita tu sio lazima ucomment!
Ndio mana nikasema wa ni dalali nini
Kama ww si dalali basi ww ni mchawi,
Mchawi si lazima tunguli! mchawi wa biashara za watu.

Independent reviewers ni muhimi, ndo maana hata simu mpya ikitoka tunaangalia GSM Arena wanasemaje, Movie ikitoka tunaangalia Rotten Tomato wanasemaje, Novel kina critiques kibao, Music Albums hivyo hivyo, kwa hiyo muhimu ni kupangua points zake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom