Nyumba ya kiongozi wa CCM Igunga yachomwa Moto

napenda kuwauliza walalamikiwa nyumba kama imechomwa moto je chanzo cha moto kilikuwa mafuta au alichoma nyasi.ok by the way napenda kujua je mlalamikaji anasema nyumba ilikuwa inatumika kama jiko je tuna uhakika gani kuwa ilichomwa au moto aliouacha baada ya kupika ?
 
Ni rahisi ngamia kupita tundu la sindanon kuliko ccm kushinda Igunga,ila lisilowezekana kwa wapenda haki kwa mafisadi linawezekana,hata ungemuuliza mtoto wa miaka mitatu atakuambia ukichoma kubi na karatasi,karatasi itaungua kwanza! mi naona aliyetumiwa kuandika ujumbe huo alisahau kuwa karatasi huunguzwa na moto kirahisi hao kuku 15 huenda ni kafara ya Mukama coz kawanunua kwa 100,000
yangu macho na msikio hadi oktoba 2.
 
Hali ni mbaya, kama hali hii ya CCM kufanya matukio ya kihalifu ilimradi wachagulie ikiacha iendelee, taifa litaingia kwenye machafuko makubwa sana.

Ushauri wangu kwa wanaccm makini, Hameni hicho chama au msimame kukemea hizo siasa uchwara.

Najua Polisi hawawezi kufanya lolote, sana sana watatumika katika propaganda za ccm, kama walivyotete suala la ununuzi wa shahada.
 
Back
Top Bottom