Nyumba ya Jackline Mengi yakumbwa na mafuriko

Mali za kuruthi na zenyew , unakua huna amani, kuandamwa kila kukicha na familia , apo jacky anataman kuolewa na danga lake akifikiria mali inabid atulize mshono maana akiolewa tu kimbembe kinaanza

aolewe tu kama kapata danga jipya case ya mirathi haishi leo wala Kesho, akisubili case iishe kiruuuu atazeeka Bila mume
 
Kumbe huyu dada bado mshamba sana!!
Mzee Mengi amechukia ameamua kumwadhibu kwa mafuriko! Hizo wine anakula na nani humor getto.Mzee amechukia sana huko aliko!
 
Kumbe huyu dada bado mshamba sana!!
Mzee Mengi amechukia ameamua kumwadhibu kwa mafuriko! Hizo wine anakula na nani humor getto.Mzee amechukia sana huko aliko!
Mzee umekurupuka kwa tunaopafahamu hapo hakuna kipindi cha mvua hapo pasijae maji sema mzee hakuwa anataka mambo ya mapichapicha, ni mara moja tu itv waliripoti nyumba ya don kukumbwa na mafuriko
 
Kama ni staa kwako usidhani kuwa kila mtu anamuona hivyo; watu wana mambo ya muhimu kufanya kuliko kumfikiria huyo mwanamke!!
Hapo wanawake mjifunze ukweli kuwa bila kuwepo mwanaume hamtoboi; alipokuwepo mwenyewe mbona hayo mafuriko hayakuingia ndani?

Hahaahaha jf bwana 😂 raha sana
 
Nyumba iko kwenye mkondo wa maji
Zamani maeneo yote yalikuwa kuna mikoko
Hiyo boda tushalipita sana kwa miguu utotoni
Ilikuwa mikoko mitupu sasa maji Kuja hapo hata sishangai

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hiyo sio Kinondoni Msese kweli!? Nakumbuka tulikuwa tunatoka Kinondoni kule kwa kina TID kwenda huko maeneo ya Msese na maeneo jirani kuokota makrokoro kwenye majalala ya wazungu na maafisa wanaojiweza. Hiyo 1985_1987
 
Back
Top Bottom