House4Sale Nyumba ya ghorofa mbili inauzwa Stonetown, Zanzibar

Ila nyumba za Zanzibar jamani.

Kila la heri mkuu. Kumbe watanganyika na sisi tunaruhusiwa kumiliki ardhi Unguja
wakiwa na shida ya kuuza nyumba ndio wanakuja huku, ila kama hawana shida wanatuita chogo na haturuhusiwi kumiliki ardhi kule. nunueni wenyewe au ipikeni wekeni kachumbari na pilipili muitafune.
 
Mbona makasiriko mkuu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom