Nyumba ya familia inapangishwa mbagala majimatitu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya familia inapangishwa mbagala majimatitu

Discussion in 'Matangazo madogo' started by FURA BOY, Apr 6, 2011.

 1. F

  FURA BOY New Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyumba inapangishwa mbagala maji maji matitu vyumba vya kulala vinne, kimoja self container, sebule moja, dining room, jiko, choo na bafu ndani, na stoo- bei laki mbili- mawasiliano- 0717 08 14 15
   
 2. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Ah wapi tunaogopa mambo ya PUUUU(mabomu), PUUU au yameisha?
   
 3. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Chumba hakiwezi kuwa 'self container' kinakuwa self contained.
   
 4. m

  mjanjamimi Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  We ni mfia nchi unaogopa nini?
  Msiba ni popote, unayaona ya japan pamoja na tech. yao kuwa juu. chukua nyumba hiyo vyumba vya kumwaga au unaogopa wageni?
   
Loading...