Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Mm ni mtu nayependa kazi zako na huwa nakufatilia sana hadi kule twitter na Instagram. Ila una bei zimechangamka kidogo.
Anyway, una customer care nzuri
Poa sana mkuu nashukru sana. Sema hizi bei zinamaongezi sana tena makubwa siunajua tena wenye mali zao wanapenda tuanzie kama wanavyoona ila wakiona soko limebana huamua kupunguza wenyewe
 
NYUMBA INAUZWA MBWENI NJIA YA USALAMA.

Double apartment zote zina vyumba viwili,kimoja ni master bedroom,kimoja cha kawaida, open kitchen, public toilet, sehemu kwa ajili ya jiko la nje na sehemu ya kuweka mashine ya kufulia,zipo ndani ya fence,mbele kuna frem kubwa 5 za biashara na kiwanja kina square meter 873,kuna Hati,bei ni 280m

Maongezi zaidi 0756060183

IMG-20220512-WA0028.jpg
IMG-20220512-WA0029.jpg
IMG-20220512-WA0037.jpg
IMG-20220512-WA0026.jpg
IMG-20220512-WA0031.jpg
IMG-20220512-WA0027.jpg
IMG-20220512-WA0028.jpg
 
Milioni 280 napata kiwanja cha hiyo size 870 sqm huko huko Mbweni, na najenga nyumba kama hizo mbili huko huko Mbweni au ghorofa moja.

Kiwanja 100m, nikikubali kulaliwa
Nyumba mbili kama hizo @ 90m = 180m au ghorofa la 180m, li kathiri la kufa mtu

So why the hell shud I buy that thing at that ridiculously overblown price ?

Kata hiyo bei nusu ndio iwe bei ya kuanzia.
 
Mzee nimetafakaria he reply nakosa jibu unabalaaa🤣🤣🤣🤣
 
Milioni 280 napata kiwanja cha hiyo size 870 sqm huko huko Mbweni, na najenga nyumba kama hizo mbili huko huko Mbweni au ghorofa moja.

Kiwanja 100m, nikikubali kulaliwa
Nyumba mbili kama hizo @ 90m = 180m au ghorofa la 180m, li kathiri la kufa mtu

So why the hell shud I buy that thing at that ridiculously overblown price ?

Kata hiyo bei nusu ndio iwe bei ya kuanzia.
Mkuu ukumbuke hiki kiwanja ni cha biasha kiko kwenye lami, hiyo bei ni ya manunuzi tu ya kiwanja. huwezi linganisha na huu uchambuzi wako. Ila yote kwa yote waswahili tunasema kupanga nikuchagua
 
VIWANJA VINAUZWA KILOMO BAGAMOYO

Viwana vipo Kilomo mjini BAGAMOYO road maribu sana na lami,mita 500 kutoka bus stand
Ukubwa mita 20 kwa mita 20 bei ni Tsh 6m
Maongezi kidoogo yapo.
Karibu sana umiriki ardhi. Maji umeme vipo
Mawasiliano 0756060183
20220514_114317.jpg
20220514_113607.jpg
20220514_113600.jpg
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom