Nyumba: Vyumba 2 na Master, Sebule kubwa, dining, fensi, fremu 8. Gongo la mboto

Mtumwa baniani

Senior Member
Apr 13, 2013
128
26
Nyumba ya Vyumba 3 kimoja Masterbedroom,sebule pana,Dining , choo cha ndani na bafu na choo cha nje na bafu lake,uwanja mkubwa wa kupaki magari zaidi ya ishirini, fensi nzuri na Fremu za maduka 8, iko Gongo la mboto. Inauzwa kwa Mil.80. Mazungumzo yapo mwenye kuhitaji ani PM na kama kuna dalali ani PM mapema
 
Back
Top Bottom