Nyumba sita za mganga wa jadi zachomwa Geita.... Diwani wa CHADEMA atiwa mbaroni.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,736
155,419
Geita
kumelipuka, jana saa moja usiku wananchi
wamecoma nyumba sita za mganga wa jadi
anayetuhumiwa kujenga kwenye eneo la
soko.
Diwani wa kata ya Kasamo kakamatwa na
polisi kwa tuhuma za uchochezi.
 
du,sijaipenda sana ila waliohusika washughulikiwe kama kuna uchochezi ila kama ilisharipotiwa kwenye vyombo vya dola na wakakaa kimya hilo ndilo fundisho.
 
mungu wangu nini hicho? nani amempa mganga huyo kiwanja ambacho ni soko, wana geita watanunua wapi misosi. Diwani wa CDM anaingizwaje hapo?
 
Hii ni hatari sana.
Leo nyumba ya mganga imepigwa kiberiti, kesho sitashangaa kusikia nyumba ya mchoa imepigwa moto.
 
eneo la soko ni eneo la manispaa inakuwaje mganga ajenge eneo la soko? Hp kn harufu ya rushwa. Pia kuchoma nyumba hz moto si jambo zuri, na km diwani alishawishi hakufanya vyema na inawezekana kasingiziwa. CNA IMANI NA MAGAMBA WANAWEZA WAKAWA WAMECHOMA WENYEWE ILI KUMBAMBIKIZIA DIWANI WA CHADEMA KESI! TAFADHALI MTOA MADA HEBU TUJUZE MAZINGIRA KUHUSU TUKIO LILIVYOTOKEA
 
wakwanza alikamatwa na bunduki mwingine anachochea wanainchi wakachome hivi hawa madiwani waliwakota wapi?
 
Back
Top Bottom