Son Of Almighty
Senior Member
- Jun 28, 2017
- 119
- 427
Habari za jioni Wakuu..
Tafadhali rejea kichwa tajwa hapo juu.
Nyumba nzuri na ya Kisasa inauzwa, iko wilaya ya Sengerema katika mkoa wa Mwanza..
Nyumba ina vyumba 3, kimoja Master.
Sebule kubwa, dining hall na jiko.
Ina public toilet ndani.
Ina Kisima kilichochimbwa na kujengwa vizuri, zaidi Tanki la maji la lita 1000 lipo pia.
Maji yapo, bomba lipo na Kisima kinauwezo wa kutunza maji na ndani pia yanatoka.
Nyumba ina umeme tayari.
Madirisha yote ni Aluminum.
Ndani nyumba nzima ina Tiles na Gypsum Boards.
Note.
Ukubwa wa kiwanja ni 450sqm
Nafasi imebaki kubwa na imezungushiwa fensi pia na ina geti..
Eneo ni Sengerema - Ibisabageni, ipo mjini kabisa na eneo zuri kabisa.
Kwa mwenye uhitaji tafadhali wasiliana nami mimi ndiye mmiliki wa hiyo nyumba, ni pm kwa mwenye uhitaji basi ipo room for negotiation.
Pia kwa madalali naweka hii tenda, kwa atakayefanikisha kupatikana mteja na akainunua basi nitakupatia/utapata stahiki/malipo yako.
Natanguliza shukrani