Nyumba nzr inauzwa ipo bahari beach mwaitenda Road

dovillenproperty

JF-Expert Member
Nov 24, 2014
2,264
2,000
Kwa mahitaji ya ununuzi wa Nyumba,viwanja au uuzaji wasiliana nami kwa 0756060183

image_2021-04-04_010207.png

1529660_IMG_20170525_114705.jpg

1529663_IMG_20170525_132545.jpg

1529659_IMG_20170525_132446.jpg

1529658_IMG_20170525_132538.jpg
 

dovillenproperty

JF-Expert Member
Nov 24, 2014
2,264
2,000
Wameanza kuuza Mali zao kweli makanikia hayatamwacha mtu salama,ni vita kubwa
Kwahyo mkuu miaka yote ya hapo awali watu walikuwa hawauzi na kununua nyumba? Kwahyo hii biashara imeanza hivi karibuni na bongo move zenu za makanikia cjui mani nini uko? Acha roho mbaya ndg yangu utakomaa mapema kama sio kukonda!!! Watanzania wengine kazi kukatishana tamaa na kurudishana nyuma! Ila basi ndg acha nifute maneno mengine .........
 

Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
11,418
2,000
Ina maana hiyo Mwaitenda Rd ndo hiyo inayoonakena kwenye picha ya chini kwenye post #10?! Kama ndiyo, location/direction ya hiyo nyumba ni sehemu gani kupitia hiyo road view?!
 

dovillenproperty

JF-Expert Member
Nov 24, 2014
2,264
2,000
Ina maana hiyo Mwaitenda Rd ndo hiyo inayoonakena kwenye picha ya chini kwenye post #10?! Kama ndiyo, location/direction ya hiyo nyumba ni sehemu gani kupitia hiyo road view?!
Sawa mkuu unaweza kunipigia cm nikakupa maelezo zaidi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom