Nyumba ndogo ya nyuma yapangishwa -nyuma ya mabibo hostel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ndogo ya nyuma yapangishwa -nyuma ya mabibo hostel

Discussion in 'Matangazo madogo' started by kaygeezo, Oct 24, 2011.

 1. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  INA VYUMBA VIWILI ,SITTING ROOM ,PARKING ,FENCE ,LUKU SHARED
  Choo na Bafu ni vya nje. Inafaa sana kwa walio single.
  nipigie(sms + beep zakubalika + PM) 0754964911
  Bei 90,000TZS kwa mwezi ,kodi ya mwaka.

  Mabibo hostel kwa nyuma kuna njia ya kutokea kibangu ,na tabata kisukuru.
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,135
  Likes Received: 6,630
  Trophy Points: 280
  bei nzuri sana ngoja waje wanaohitaji
   
 3. Nyaubwii

  Nyaubwii JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapo kwenye red hebu fafanua vizuri. Kwa sisi tulio na familia vitu gani vinatuzuia kuishi hapo.
   
 4. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu nibeep nikupigie...
   
 5. Mla Mbivu

  Mla Mbivu JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mmh, mbona kodi ndogo sana? Weka picha ya nyumba mkuu kabla hatujawasiliana.
   
 6. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unataka kodi kama za sinza?..nyumba yenyewe ni ndogo pia ,na maeneo hayo kodi sio kubwa ,picha ntaweka,lakini nipe muda kidogo.maana ni mpaka niende hapo mjengoni..ila nitafanya hivo.(kodi zaidi ya iliyotajwa pia itapokelewa :))
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Title ilinichanganya kidogo...............lugha za mjini bwana
   
 8. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #8
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole mkuu
   
 9. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #9
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Dah nilidhani mambo ya malavidavi!
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  daaah nimecheka hadi basi
   
 11. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #11
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  he he,kazi kwako
   
 12. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Kaygeezo ni kijana mkweli akisema kitu inakuwabni hivyo,sasa msiwe kama wale baba zangu wa miaka ya 40 ambao wakienda dukani hutaja bei kubwa wakiamini kitu cha bei ndogo sio madhubuti,enzi hizo nilikuwa namsikia babu yangu akiisifia baiskeli yke hii Railege au hii Humber(baiskeli za ukweli miaka hiyo)nimenunua elfu ishirini,yule Patel Jaghabai aliisema anauza sh 15 mimi nikasema niuzie ya ishirini(ilihali baiskeli ni hiyohiyo)sasa Kaygeezo kasema nyumba ni 90,000 tayari watu mmeshakuwa akina Thomaso,lakini jibu kawapa huko Mabibo ni tofauti na Sinza ,na Masaki ni tofauti na kwa Diamond teh teh
   
 13. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Hata mie nilidhani kuna bibie anapangishwa!
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Unajua mie nilielewa jamaa ana nyumba ndogo yake sasa anapangisha ''nyuma'' ya huyo nyumba ndogo........angesema banda la uani
   
 15. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #15
  Oct 27, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maji pia yapo ,japo yanatoka mara 1-2 kwa wiki
   
 16. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #16
  Oct 29, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nawashukuru wadau mliokuja kuicheki nyumba
   
 17. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #17
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyumba bado ipo wahitaji
   
Loading...