Nyumba ndogo pasua kichwa sana

Mimi nimeo ila nimejaribu pia kuwa na nyumba ndogo kipindi chote cha miaka 20 ya ndoa yangu. Kitu kimoja kimenishangaza hawa michepuko huwa lazima a cheat tu hata kama unampatia kila kitu. Na nimeona hata kwa wenzangu nao wana shida hizo hizo na michepuko yao. Nimejaribu wasichana below 30 tabia ni hizo hizo, nimejaribu ma single mother over 35 nao tabia ni hizo hizo. Hivi nyie michepuko tuwafanyie nini ili mtulie????

Yaani we ni pimbi sana aisee.
Sasa wakati umekwenda kulala kwa mkeo unataka yeye alale na nani?
What goes arround comes around
 
Ila wakuu tuache utani. Maisha ya ndoa bila mchepuko hayaendi kabisa kwakweli. Yaani nimegundua ukitaka ndoa yako idumu na iwe yenye amani na furaha, hakikisha hukosi angalau michepuko miwili nje.
 
Mimi nimeo ila nimejaribu pia kuwa na nyumba ndogo kipindi chote cha miaka 20 ya ndoa yangu. Kitu kimoja kimenishangaza hawa michepuko huwa lazima a cheat tu hata kama unampatia kila kitu. Na nimeona hata kwa wenzangu nao wana shida hizo hizo na michepuko yao. Nimejaribu wasichana below 30 tabia ni hizo hizo, nimejaribu ma single mother over 35 nao tabia ni hizo hizo. Hivi nyie michepuko tuwafanyie nini ili mtulie????
Team Work.
 
Achana na michepuko ndiyo jibu sahihi.
 
Mimi nimeo ila nimejaribu pia kuwa na nyumba ndogo kipindi chote cha miaka 20 ya ndoa yangu. Kitu kimoja kimenishangaza hawa michepuko huwa lazima a cheat tu hata kama unampatia kila kitu.

Na nimeona hata kwa wenzangu nao wana shida hizo hizo na michepuko yao. Nimejaribu wasichana below 30 tabia ni hizo hizo, nimejaribu ma single mother over 35 nao tabia ni hizo hizo. Hivi nyie michepuko tuwafanyie nini ili mtulie?
Wanataka umuache mke wako ili watulie
 
Ila wakuu tuache utani. Maisha ya ndoa bila mchepuko hayaendi kabisa kwakweli. Yaani nimegundua ukitaka ndoa yako idumu na iwe yenye amani na furaha, hakikisha hukosi angalau michepuko miwili nje.
No wonder ukimwi hauishi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom