Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,627
- 154,995
Na umri wangu wa miaka 51 nilikuwa sijawahi kuangukia kwenye mtego.wa nyumba ndogo.
Juzi nikabahatika kujumuika na wana JF wenzangu pale Leo Tupo Hapa Pub, kwenye maongezi na kufahamiana nikajikuta nafsi yangu ikimdondokea dada mmoja ambaye leo ndio kanipa mamboz.
Baada ya majamboz na kukolewa na kinywaji dada kaficha funguo za gari yangu.
Dada kalewa chakari hakieleweki afanyacho na funguo anasema hajui alipoziweka.
Wife anapiga simu nirudi haraka nyumbani kuna dharura jamani nifanyeje mie na yula mamaa wa Kikurya mdogo wa Mwita Maranya?
Kwakweli nimekomeshwa na nimeibishwa sana leo SnowBall hebu njoo uokoe jahazi

Last edited by a moderator: