Nyumba ndogo inaharibu familia

nahic huyu mama hakutegemea yangefikia huku, yeye alidhani ni mzee akajistareheshe ajirudie nyumbani kumbe cvyo, hawana jema hawa, mie hiyo ruhusa nicngeitoa milele na nyumbani jamani tucamshane maucku sana kufungua geti, nahc yatatokea kama ya cjui ni kocha yule Masanja.

Mimi nahisi huyu baba ni mkali sana kwa mkewe na atakuwa anampiga sana.Hampi nafasi ya kujieleza wala kuongea.Si Carmel ashasema ana wivu wa kupitiliza.
 
Geoff na mimi kuhusu hili nningechangia kama ulivo sema system ya ndoa, there is no out no matter what only death can do you apart, lakini kama still mko alive then ni kuvumiliana tu. So huyo mama cha kumshauri ni kuwa mvumilivu na kumkalisha mumewe chini afikirie kwanza na ajaribu kumkumbusha sana siku yao ya ndoa walipokuwa kanisani, jamaa atarudi nyuma na kukumbuka siku alipo kula kiapo cha upendo kwa mke wake mpaka kifo kitapowatenganisha.

Ndoa ni ngumu kusema ukweli----inahitaji uvumilivu, halafu mamaa alikosea sana, tunaliita hilo kosa la kiufundi kumruhusu mume wako kwenda Kasino peke yake, any waya kufanya kosa si kosa ila --, ajaribu kumconvice mumewe ajaribu to picture their marriage in a new start for once and get on right track.

halafu mie kinachonikeraga zaidi yakipata na matatizo huko kuuumwa/ajali cjui na nini yanarudi nyumbani kwa mke wa ndoa ndio amuhudumie, kama hao hawara wa muhimu kwanini wacwahudumie kwenye shida/raha?....ikifikia huku nadhani nitaisusa hadi maiti....jamani kuna vitu vinaumiza jamani.
 
nahic huyu mama hakutegemea yangefikia huku, yeye alidhani ni mzee akajistareheshe ajirudie nyumbani kumbe cvyo, hawana jema hawa, mie hiyo ruhusa nicngeitoa milele na nyumbani jamani tucamshane maucku sana kufungua geti, nahc yatatokea kama ya cjui ni kocha yule Masanja.
Hakuna kitu nisichopenda kama kuamshwa usiku, mbaya zaidi kufungulia geti mtu usiku kila siku sijui wanawezaje wanawake wenzangu. nbahati yangu hubby hana hizo la sivyo angekuwa anaruka geti kila siku na kulala barazani. Lakini fundisho washapata hapo kwa mwenzao.
 
Haya sasa kama anakuwa na nyumba ndogo wewe kinacho kuuma nn wewe huduma ndani ya nyumba hupati si unapata na kodi ya meza unaachiwa sasa akihudumia nyumba ndogo kuna ubaya gani mwache afaidi.

heshima ishike mkondo wake nicjue, yaani nicjue kabisa.
 
Zinaleta heshimaaa eeeh! Ni hizo zama za kale na sio sasa, nani anataka matatizo siku hizi??? ukileta zakuleta watu wanaanza baba. Mshipa wa uvumilivu asilimia kubwa ya wanawake ulishakatika na kuna vitu vya kuvumilia sio hata mataputapu wavumilia!!!

mie nachukiaga neno uvumilivu mana linakondesha sana, unapaka lotion utasema umepaka shanti, kila kitu kinagoma kisa unamvumilia limtu fulani linalokula raha zake, unakunywa tusker unapata ladha ya mnazi/banana kisa unamfikiria limtu.
 
huuuuu,nyamayao taratibu, nimechekaa kaa chizi, eti unakunywa tusker unapata radha ya mnazi heeeeee
 
mie nachukiaga neno uvumilivu mana linakondesha sana, unapaka lotion utasema umepaka shanti, kila kitu kinagoma kisa unamvumilia limtu fulani linalokula raha zake, unakunywa tusker unapata ladha ya mnazi/banana kisa unamfikiria limtu.
Nyamayao! hebu isome vizuri na kwa kina signature statement yako kisha tafakari
 
, unakunywa tusker unapata ladha ya mnazi/banana kisa unamfikiria limtu.

Yeah kama unalipenda kweli lazima radha ya Konyagi igeuke kuwa soda Tangawizi lakini kama unaliibia tu huna true love utakuwa unajisemea potelea pote.
 
mie nachukiaga neno uvumilivu mana linakondesha sana, unapaka lotion utasema umepaka shanti, kila kitu kinagoma kisa unamvumilia limtu fulani linalokula raha zake, unakunywa tusker unapata ladha ya mnazi/banana kisa unamfikiria limtu.

Kuna mahali pa kuvumilia (upende usipende) na kuna mahali ambapo ukivumilia unakuwa zoba.Ni akili kichwani mwako.
 
Hakuna kitu nisichopenda kama kuamshwa usiku, mbaya zaidi kufungulia geti mtu usiku kila siku sijui wanawezaje wanawake wenzangu. nbahati yangu hubby hana hizo la sivyo angekuwa anaruka geti kila siku na kulala barazani. Lakini fundisho washapata hapo kwa mwenzao.

mie alikuwa na hiyo tabia, nilimsemesha nikaona huyu kiziwi, ikawa ikifika saa 4 cm nimezima, anajua alichofanya lakini morng nimemkuta kalala kwenye gari uwani, cku hizi anatoa na taarifa kabisa nipo mahali fulani nitachelewa kidogo, wana makusudi sana hawa.....
 
aisee jamani huyu mama nae alimwachia sana jamani,any way kwa vile yametokea cha kufanya ni kudhibiti asiendelee na hiyo nyumba ndogo.maana wanaume waongo sana akimuuliza sana sana atabisha tu?SASA amdhibiti kabisa si mme wake bwana.
Mimi wangu ananijua nilishamwambia angetaka uhuru asingeoa.Sasa ni mme wangu peke yangu maana alisaini ndoa ya mke mmoja ohoo na mkataba huu utavunjwa na kifo tu.asubiri kifo kitutenganishe
 
Back
Top Bottom