Nyumba NAUZA Nyumba

Mpevu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,805
173
Habari wadau,

Nauza eneo ambalo tayari linayo nyumba ndogo ya uwani yenye vyumba vitatu.

Eneo lililopo ni hatua 40-35, halina miti au mazao yoyote. Lipo ndani ya jiji la Dar maeneo ya uwanja wa ndege.

Bei katika hii ni 25mil tu.

Nimeamua kuuza eneo hili si kwa minajili mingine, bali ukata unaonisumbua sasa.

Kwa mwenye hitajio, tafadhali unaweza kuniPM au kunipata kwa nambari zifuatazo:
0762-123133
0715-887777

NB: Nitajitahidi sana kubandika picha ili muone mandhari yake.

Ahsanteni na karibuni.
 
uwanja wa ndege maeneo gani mkuu? au jina la mtaa ?,,maana maeneo yanayozunguka pale ni kigilagilai,kalakata,kipawa ,posta kuelekea pugu
 
Ni eneo la 'Kipunguni Mashariki'.
 
Habari wadau,

Nauza eneo ambalo tayari linayo nyumba ndogo ya uwani yenye vyumba vitatu.

Eneo lililopo ni hatua 40-35, halina miti au mazao yoyote. Lipo ndani ya jiji la Dar maeneo ya uwanja wa ndege.

Bei katika hii ni 25mil tu.

Nimeamua kuuza eneo hili si kwa minajili mingine, bali ukata unaonisumbua sasa.

Kwa mwenye hitajio, tafadhali unaweza kuniPM au kunipata kwa nambari zifuatazo:
0762-123133
0715-887777

NB: Nitajitahidi sana kubandika picha ili muone mandhari yake.

Ahsanteni na karibuni.

nitupie picha,nikufanyie udalali kwenye tovuti Nyumban Real Estate & Consultancy | Properties buying/selling is the dream for everyone, but to find the buyers/sellers with definitive cost is both frustrating and time consuming. Therefore we are here to meet such needs for you. Buy or sell through
email yangu ni mricotz@gmail.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom