Nyumba na kiwanja vinauzwa hapa dodoma mjini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba na kiwanja vinauzwa hapa dodoma mjini

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kalunguine, Jun 7, 2012.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nyumba iko Plot no 10,no ya nyumba ni 51,ina maduka manne na vyumba vya kuishi tisa,ina store,jiko,urefu wa kiwanja cha nyumba ni mita sabini na upana mita kumi na tano,iko hapa Dodoma mjini mtaa wa mji mpya OPP na PETER PALM HOTEL BARABARA YA KUMI.bei ya nyumba ni milioni 350,mazungumzo yapo.

  Pia kuna Plot no 5.BLOCK "C" NCC AMBACHO KIPO MAENEO YA KARIBU NA DODOMA HOTEL AU BOT.UKUBWA WA KIWANJA NI 70 KWA 23.BEI NI MILIONI 350,PIA MAZUNGUMZO YAPO

  HAYA NI MAENEO YA MJINI NA YENYE BIASHARA

  PIGA SIMU NO 0715 607 939,AU 0777 607 939. :first:
   
 2. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Nyumba million 350 na Plot Million 350...? Wonder shall never End, lol
   
 3. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hata hapa bongo nyumba ya manzese uzuri au tandika inaweza uzwa kwa milioni 350 lakini kiwanjwa kilichopo posta mpya kinaweza uzwa milioni 900! tafakari
   
Loading...