Nyumba (Muundo wa L) ya vyumba 2 na sebule inaweza kugharimu kiasi gani?

Apr 30, 2021
49
28
Ndugu zangu Mimi nataka kujenga nyumba ya vyumba viwili na sebule vyenye meter 4 lakini choo Cha public ni Cha nje.

Muundo wa nyumba ni wa(L) Inaweza kugalimu shingapi mpaka kuamia.

Msaada please.
 
Ungewawekea sketch map wataalam watiririke ila room m 4 ni bonge la room kubwa sana
 
Mafundi wa ujenzi njoni mtoe msaada kwa mdau.

Kwa muundo huo wa nyumba nafikiri gharama haiwezi kuwa kubwa sana. Haya maramani ya kisasa yanafanya gharama za ujenzi kuwa kubwa sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom