Nyumba mpya ya gavana wa bot na picha ya chini naomi campbell akiwa hosp.ya temeke

Somi

JF-Expert Member
Feb 7, 2009
3,525
4,245
Nyumba mpya ya gavana wa bot inavutia lakini kulikuwa na umuhimu wa kuwa na nyumba kubwa na yenye dhamani kiasi hichi?
 

Attachments

  • NYUMBA MPYA YA GAVANA WA BOT.doc
    422.5 KB · Views: 329
clip_image002.jpg
 
Temeke/BoT bungalow hapo ndio unaona tofauti ya nyani na binadamu.
Binadamu anajali mwenzake,lakini nyani hajali mwenzake hata kundule.
 
Inatia aibu na kuhuzunisha. Huyo gavana kama ataona hii sidhani kama atakaa kwa amani kwenye hilo hekalu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom