Nyumba mbili zanusulika kuungua moto jijini,fire wawahi safari hii

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Leo jijini dar nyumba mbili maeneo tofauti zilipata moto na kuwaiwa na fire moja ipo Manzese ,ni ya Thomas Ngayawia na nyingine ipo karibu na soko la Kariakoo, chanzo cha moto bado akijajulikana, Manzese ilikuwa saa mbili na nusu, Kariakoo saa tisa.
 
Back
Top Bottom