Nyumba kwenye plot 23*25 bedrooms 4 master kubwa ukumbi mkubwa jiko,store dinning inauzwa Mbezi Juu jirani na Tatedo bei 40m mwenye interest ani PM naambatanisha picha
Weka picha zaidi Mkuu, tuone na Majirani tunaopkana nao. ni Muhimi maana nyumba si Jengo na Mazingira. Ila haina Udalali hiyo mkuu mbona bei ya Kuruka sana
Weka picha zaidi Mkuu, tuone na Majirani tunaopkana nao. ni Muhimi maana nyumba si Jengo na Mazingira. Ila haina Udalali hiyo mkuu mbona bei ya Kuruka sana
Ha ha haa..........ila wengi hapa wanaangalia jengo pekee bila kuangalia thamani ya ardhi...anyway ngoja nikaonane na faza hausi wangu leo jioni.......hii muziki ndefu kwangu
Hicho kiwanja ni squater au cha kupimwa? Hapo ilipo kuna barabara inayopita mbele ya nyumba? Ni umbali gani toka barabara kubwa? Currently hayo maeneo nikihitaji site nitapata kwa kiasi gani? Nipe vigezo vya kuanzia 40M kwenye boma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.