Wana jf kuna nyumba inauzwa ipo kimara mwisho
ina vyumba vitatu, choo, bafu, sitting room, dinning room, kitchen na ina eneo kubwa sana kuweza kujenga hata nyumba nyingine.
Mita 500 kutoka morogoro road na mita 50 kutoka bonyokwa road
0755 198216 na 0755 310028