Nyumba inauzwa

mwanatz

Member
Nov 5, 2010
18
2
Wana jf kuna nyumba inauzwa ipo kimara mwisho
ina vyumba vitatu, choo, bafu, sitting room, dinning room, kitchen na ina eneo kubwa sana kuweza kujenga hata nyumba nyingine.
Mita 500 kutoka morogoro road na mita 50 kutoka bonyokwa road

0755 198216 na 0755 310028
 
we muzaji au dalalai tu>? mbona huweki bei na picha tuthaminishe?sasa hapa utaanzia kukupigia simu nije kimara then nikute hovyo!!! tumia electonic hapa kurahisisha biashara yako
 
Wana jf kuna nyumba inauzwa ipo kimara mwisho
ina vyumba vitatu, choo, bafu, sitting room, dinning room, kitchen na ina eneo kubwa sana kuweza kujenga hata nyumba nyingine.
Mita 500 kutoka morogoro road na mita 50 kutoka bonyokwa road

0755 198216 na 0755 310028

weka picha hapa
picha za ndani, nje na ya mazingira inayozunguka nyumba..
wewe ni real estate agent??
je una website ambayo naweza kungalia??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom