Nyumba inauzwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Narumba, Mar 29, 2010.

 1. N

  Narumba Member

  #1
  Mar 29, 2010
  Joined: Jan 11, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyumba inauzwa ipo gongo la mboto mwisho wa lami, ina vyumba 4, jiko choo na uwanja mkubwa.Bei ya kuuza ni milioni 20.Mwenye kuhitaji na kutaka kuiona apige simu namba 0769 393533 hii ni namba ya mmiliki wa nyumba.
   
 2. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2010
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Weka picha mkuu tuione nyumba yenyewe. Kiwanja kimepimwa na kina hati miliki?
   
 3. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  mbuzi ndani ya gunia, weka picha hapa mkuu!
   
 4. N

  Narumba Member

  #4
  Mar 29, 2010
  Joined: Jan 11, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiwanja kimepimwa na hati miliki ipo. Kwa maelezo zaidi piga simu na ikiwezekana ukaione.
   
 5. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Picha pliiiiiiizi ndani ya simu sie hatununui mkuu,mambo mtandaoni mwanangu.
   
 6. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Picha mkuu!!!!
  Umesema kina hati miliki, je kina ukubwa gani? Ni umbali gani kutoka main road? Je hiyo hati miliki ni ile leseni ya makazi au ni titile deed? Maana zote hizo ni hati miliki!!!!Je inafikiwa kwa gari (i.e barabara) au ni lazima ukapaki gari SSM au garage? Then ukishatufahamisha hivyo, basi angalao mtu unapata apicture nasi kuchoma gari moto halafu unakuta kituko!!! Du!
   
 7. K

  Kabengwe JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2010
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tusiogope, process za kununua nyumba ziko very clear. Kama kweli unahitaji la nyumba mpigie simu mkubaliane mkaione.
  Wakati wa kununua, pitia ardhi kuthibitisha uwepo wa hipo kiwanja na uhalisi wa hati, baada ya hapo nendeni mahakamani au kwa advocate yeyote muandikishane hapo, kila mtu na mashahidi wake, then ulipe kwa kupitia bank, clearly uki-indicate kwamba hizo hela ni kwa manunuzi ya nyumba Plot No... Iliyopo...

  Kwahyo kama unashida na nyumba, mtafute muhusika mfanye biashara!
   
 8. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Ndugu Narumba, Thibitisha kuwa unakubaliana na masharti haya hapo juu kabla hatujaanza kuwasiliana nawe.

  Hii ni muhimu!!!!!
   
 9. R

  Renegade JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,763
  Likes Received: 1,064
  Trophy Points: 280
  Weka picha.
   
 10. b

  bwanashamba Senior Member

  #10
  Mar 31, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Picha mkuu inausu na iyo m20 ni nyingi weka picha na punguza bei tufanye bishara fanya faster
   
 11. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  Pape kumbe sikujua hata kwenye mauziano ya mali ukiona picha tu basi unashawishika. Picha ya eneo usilolijua itakusaidia nini?.kwani akiweka hata ya staili ya Masaki utaijuje? shida hapa sura ya nyumba, eneo ilipo, ukubwa wake au kutoamini kuwa nyumba husika ipo na inauzwa kihalali?.
   
 12. U

  Urenga One Member

  #12
  Apr 11, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Weka picha Bana watu woote wanakwambia Picha na Jibu maswali ya wakereketwa wa nchi hii
   
 13. PHOTO

  PHOTO Member

  #13
  May 4, 2014
  Joined: Mar 14, 2014
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NYUMBA INAUZWA IPO SINZA KIJIWENI =DAR ES SALAAM barabara ya Shekilango pia kuna fremu za biashara katika nyumba hiyo hiyo ! BEI MILIONI MIA NNE TU (Maongezi yapo) Kama una hela ya kununua au kuna mtu unaemjua na anahitaji piga namba hiyo ya mhusika 0718-462515
   
 14. PHOTO

  PHOTO Member

  #14
  May 4, 2014
  Joined: Mar 14, 2014
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NYUMBA INAUZWA IPO SINZA KIJIWENI =DAR ES SALAAM barabara ya Shekilango pia kuna fremu za biashara katika nyumba hiyo hiyo ! BEI MILIONI MIA NNE TU (Maongezi yapo) Kama una hela ya kununua au kuna mtu unaemjua na anahitaji piga namba hiyo ya mhusika 0718-462515
   
Loading...