Nyumba inauzwa Tshs 330mil, iko Magomeni Kondoa

Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,726
3,762
Nyumba inauzwa iko magomeni kondoa-Dsm, karibu na makanya kwa Bonge. Ipo mtaa wa Lalago.karibu kabisa na LAVISTA hotel.

Ina vyumba 3 na vyoo viwili, Chumba kimoja ni Master(kubwa). Panapitika Muda wote, na pana usalama wa Kutosha.

Bei ni sh 250mil(Negotiable). Kwa mawasiliano piga namba +255759888018

Karibuni

3a607466-5340-4d30-ab64-db25799ed9cf.jpg

IMG_20160314_104150.jpg
IMG_20160314_104541.jpg
 
Attachments

  • IMG_20160314_103944.jpg
    IMG_20160314_103944.jpg
    158.8 KB · Views: 51
dah!! Yani mitaa mizuri kweli kwahiyo bei wanayouza ni halali kwa kweli...hapo ukibomoa nakujenga hotel inalipa, haya wacha tuone wenye pesa zao, lakin hizi nyumba sio za wale watu wa ngada, isije kuwa wanaanza kuuza kimya kimya lol, baada mkawaangushia watu msala.
 
No, si za wale. Hii ni ya familia ambayo mzee wao alishafariki. Wanataka kuza na kisha kugawana ili kila mtu afe na chake. Kwa kuiona tafadhari fika Lalago Street, Magomeni-DSM. Karibu na Lavista Hotel
 
Hatapata mteja kwa hiyo bei tena kwa serikali ya Uncle Magu ndo hatauza hata aweke 100mil
 
Dah! uwezo huo sina mbona japo nimeipenda sana, tuwasubiri wenye pesa zao.
 
Hatapata mteja kwa hiyo bei tena kwa serikali ya Uncle Magu ndo hatauza hata aweke 100mil
Sheikh wangu hatufanani uwezo. Nina mategemeo kuwa wapo na watanunua. That my hope
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom