Nyumba inauzwa sinza karibu na lion hotel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa sinza karibu na lion hotel

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mseseve, Oct 25, 2011.

1. mseseve

mseseve JF-Expert Member

#1
Oct 25, 2011
Joined: Apr 3, 2011
Messages: 518
Likes Received: 30
Trophy Points: 45
HAYA TENA WANA JF KUNA NYUMBA INAUZWA SINZA KARIBU NA LION HOTEL IMEPAKANA NA BARABARA YA KWENDA KWA MWAIBULA. NI MAKAZI YA MTU, NA INA ENEO KUBWA PAMOJA NA MABANDA YA UWANI. INAFAA KWA LODGE AU KWA BIASHARA YOYOTE ILE. BEI INAANZIA 130MIL ILA KUNA MAELEWANO.

KWA MAWASILIANO ZAIDI JUST CALL THESE NO
0714812375
0784562131 for more info...

2. m

moghaka JF-Expert Member

#2
Oct 25, 2011
Joined: May 16, 2011
Messages: 202
Likes Received: 27
Trophy Points: 45
nakuja kuiona kesho barabara ? maji ? mabondeni ?

3. mseseve

mseseve JF-Expert Member

#3
Oct 26, 2011
Joined: Apr 3, 2011
Messages: 518
Likes Received: 30
Trophy Points: 45
mkuu sinza hakuna mabonde ni tambarare

4. Mlaleo

Mlaleo JF-Expert Member

#4
Oct 27, 2011
Joined: Oct 11, 2011
Messages: 9,862
Likes Received: 3,309
Trophy Points: 280
Hata Tandale siku hizi inaitwa Sinza...

Hiyo Bei ni ya kiwanja au matofari? including mabati yaliyooza!

Loading...