Nyumba inauzwa navitu vyake ndani inahati

  • Thread starter zebanga watelanga
  • Start date

zebanga watelanga

zebanga watelanga

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Messages
734
Likes
97
Points
45
zebanga watelanga

zebanga watelanga

JF-Expert Member
Joined May 3, 2013
734 97 45
House for sale at Sinza kwa remy;(Dar Es Salaam)
3 bedrooms including master
1 sittng room
1 dinning
2 kitchen
3 cars parking space
24/7 water supply including simtanks
Fully air conditioned.
2 rooms at the back of the house which can be used as servants rooms or stores including a public toilet.price 290mill
0712690760
 
Attachments:

Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Messages
16,319
Likes
15,673
Points
280
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2014
16,319 15,673 280
Mil 290 au milion 29? hiyo hela naenda kununua heka 6 porini kwa milion 5 nafumua huko mjengo wa milion 150 na chenji inarudi naenda kununua vitz cha milion 6 hela itakayo baki, naiweka kama mtaji nanunua friji natengeneza ice cream nauzia hapo kibarazani siku zinaenda

Magufuli kabana hadi penati
 
Wazo la kabwela

Wazo la kabwela

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2013
Messages
1,568
Likes
915
Points
280
Age
29
Wazo la kabwela

Wazo la kabwela

JF-Expert Member
Joined Feb 13, 2013
1,568 915 280

mkuu hebu ninongoneze hiyo hela kweli unayo???? au unaisoma namba kama kawaida???
 
Mr Natafuta

Mr Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Messages
1,681
Likes
751
Points
280
Mr Natafuta

Mr Natafuta

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2016
1,681 751 280
kwamba huyu mwenye nyumba anahama nchi kabisa au ?
 
zebanga watelanga

zebanga watelanga

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Messages
734
Likes
97
Points
45
zebanga watelanga

zebanga watelanga

JF-Expert Member
Joined May 3, 2013
734 97 45
Mmmmmmmmmmm
 
knysna

knysna

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
311
Likes
70
Points
45
Age
30
knysna

knysna

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
311 70 45
Mil 290 bei kubwa sana sio kwa nyumba hiyo.
 
ndiyomkuusana

ndiyomkuusana

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
646
Likes
112
Points
60
ndiyomkuusana

ndiyomkuusana

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
646 112 60
House for sale at Sinza kwa remy;(Dar Es Salaam)
3 bedrooms including master
1 sittng room
1 dinning
2 kitchen
3 cars parking space
24/7 water supply including simtanks
Fully air conditioned.
2 rooms at the back of the house which can be used as servants rooms or stores including a public toilet.price 290mill
0712690760
Bei siyo tatizo, Location ya hiyo nyumba ni wapi? location inaweza ikatuma dhamani ya nyumba
 
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
10,314
Likes
5,329
Points
280
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
10,314 5,329 280
Dah....hadi raha....jana nimetoka kununua shamba kwa mkopo kwa elfu10 nililoambiw elfu80 miaka 2 iliyopita
 
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Messages
19,574
Likes
34,098
Points
280
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2015
19,574 34,098 280
Wakat wenzenu wanauza enzi za Wapiga dili mlikuwa wapi buanaaa?
 
appoh

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Messages
4,962
Likes
900
Points
280
appoh

appoh

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2013
4,962 900 280
Mil 290 au milion 29? hiyo hela naenda kununua heka 6 porini kwa milion 5 nafumua huko mjengo wa milion 150 na chenji inarudi naenda kununua vitz cha milion 6 hela itakayo baki, naiweka kama mtaji nanunua friji natengeneza ice cream nauzia hapo kibarazani siku zinaenda

Magufuli kabana hadi penati
ndoto za kuota umeokota mashiringi mengi ukiamka huzioni ndio hizi
 
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Messages
16,319
Likes
15,673
Points
280
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2014
16,319 15,673 280
Bora uuze mwenyewe kuliko benki waje waipige bei maana hupati hata cent halafu wanauzaga bei ya hasara tu.
Tuliwekeza kwenye vitenga uchumi kama jk hajangatuka!
 
C

clavery mpandana

Member
Joined
Nov 20, 2016
Messages
70
Likes
20
Points
15
Age
33
C

clavery mpandana

Member
Joined Nov 20, 2016
70 20 15
Sinza hapo lazima bei iwe hiyo
 
Forum statistics

Threads 1,274,979
Members 490,865
Posts 30,529,417