House4Sale Nyumba inauzwa Morogoro Mjini

mamaur

Member
Feb 16, 2013
75
42
Nauza nyumba yangu iliyopo mkoani Morogoro. Mimi ndio mmiliki wa hiyo nyumba.

Ukubwa wa kiwanja ni 1500qm.
Nyumba ni ya ghorofa.
Vyumba vitano (vinne ni master bedroom)
Dinning na kitchen ni open plan
Sitting room
Public toilet.
Kuna garage na chumba vimeunganishawa inaweza kuwa kama servant kota. Pia kuna choo cha nje.

Nyumba inapatikana maeneo ya Morogoro mjini Modeco karibu na mataa ya tumbaku. Nyumba inaangaliana na barabara ya lami.

Hati ipo.

Asking price Tsh 700 mil.

Interested buyer contact 0753 671 610 kupata picha za nyumba au nicheki PM.

IMG-20210827-WA0006.jpg
IMG-20210905-WA0004.jpg
IMG-20210827-WA0024.jpg
IMG-20210827-WA0014.jpg
 
Nyumba ya 2016


umeona nyumba za 2016 na 2021? wenzio wana weka na viambata...
 


umeona nyumba za 2016 na 2021? wenzio wana weka na viambata...
Nimeona...nimeweka picha mbili tatu. Asante kwa ushauri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom