Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

NYUMBA INAUZWA BOKO BASIAYA

Nyumba ina vyumba 2 sebule jiko na choo nk
Size plot 350 SQM
Bei Tsh 22m
Wahi mapema bei hii ni ya ofa
Maongezi zaidi 0756060183

IMG-20220515-WA0016.jpg
IMG-20220515-WA0017.jpg
IMG-20220515-WA0015.jpg
IMG-20220515-WA0014.jpg
 
Umepiga picha kama unafukuzwa. Maeneo mengi hayajaoneshwa!!!
Mkuu njoo ununue nyumba hii tumepunguza bei we endelea kuhoji picha zimepigwa vibaya wenzio wanakuja kuona na kununua.

Ila ngoja nikipita baadae hapo nitakuchukulia picha tena nitakutumia
 
Back
Top Bottom