House4Sale Nyumba inauzwa Mbweni njia ya Usalama

dovillenproperty

JF-Expert Member
Nov 24, 2014
2,936
2,000
NYUMBA INAUZWA MBWENI NJIA YA USALAMA.

Double apartment zote zina vyumba viwili,kimoja ni master bedroom,kimoja cha kawaida, open kitchen, public toilet, sehemu kwa ajili ya jiko la nje na sehemu ya kuweka mashine ya kufulia,zipo ndani ya fence,mbele kuna frem kubwa 5 za biashara na kiwanja kina square meter 873,kuna Hati,bei ni 280m

Maongezi zaidi 0756060183

IMG-20220512-WA0028.jpg
IMG-20220512-WA0029.jpg
IMG-20220512-WA0037.jpg
IMG-20220512-WA0026.jpg
IMG-20220512-WA0031.jpg
IMG-20220512-WA0027.jpg
IMG-20220512-WA0028.jpg
 
Verrazanno

Senior Member
Sep 15, 2021
108
250
Milioni 280 napata kiwanja cha hiyo size 870 sqm huko huko Mbweni, na najenga nyumba kama hizo mbili huko huko Mbweni au ghorofa moja.

Kiwanja 100m, nikikubali kulaliwa
Nyumba mbili kama hizo @ 90m = 180m au ghorofa la 180m, li kathiri la kufa mtu

So why the hell shud I buy that thing at that ridiculously overblown price ?

Kata hiyo bei nusu ndio iwe bei ya kuanzia.
 
Saint_Mwakyoma

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
594
1,000

Mzee nimetafakaria he reply nakosa jibu unabalaaa🤣🤣🤣🤣
 
dovillenproperty

JF-Expert Member
Nov 24, 2014
2,936
2,000
Milioni 280 napata kiwanja cha hiyo size 870 sqm huko huko Mbweni, na najenga nyumba kama hizo mbili huko huko Mbweni au ghorofa moja.

Kiwanja 100m, nikikubali kulaliwa
Nyumba mbili kama hizo @ 90m = 180m au ghorofa la 180m, li kathiri la kufa mtu

So why the hell shud I buy that thing at that ridiculously overblown price ?

Kata hiyo bei nusu ndio iwe bei ya kuanzia.
Mkuu ukumbuke hiki kiwanja ni cha biasha kiko kwenye lami, hiyo bei ni ya manunuzi tu ya kiwanja. huwezi linganisha na huu uchambuzi wako. Ila yote kwa yote waswahili tunasema kupanga nikuchagua
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom