Nyumba inauzwa Mbezi Mpakani (48*75)

Mtimbo

JF-Expert Member
Jan 18, 2012
1,392
796
Habari!
Wadau nyumba iliyo kwenye uwanja wenye ukubwa wa eneo zaidi ya 48*75 iliyoko Mbezi mpakani inauzwa kwa 18 millions (negotiable)

Hali ya nyumba:
IMEISHIA KWENYE USAWA WA RINTER
>Inavyumba vinne kimoja kikiwa ni master room
>Vyumba viwili vya choo vya ndani
> sitting room + Dining room
>studying room(home library) + Store room.

kwa yeyote mwenye kuhitaji ani PM namba yake kwa mawasiliano
 
Pia kuna plot inauzwa Mwanyamala opposite Mwananyamala hospital, ukubwa wa plot ni 4050 square feet, bei 280 Miln. Hakuna dalali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom