Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,684
- 225,318
Linaonekana mkuu..side mirror,na kioo cha juu.Hahaaa ulijuaje?
Jitahidi kuicrop,otherwise wanunuzi wanaweza kupata wasi.
Btw mimi siyo mnunuzi.
Linaonekana mkuu..side mirror,na kioo cha juu.Hahaaa ulijuaje?
Hahaaa sawa mkuu ngoja nitafanyia kazi ushauri wakoLinaonekana mguu..side mirror,na kioo cha juu.
Jitahidi kuicrop,otherwise wanunuzi wanaweza kupata wasi.
Btw mimi siyo mnunuzi.
Kawaida mkuu,soko la uuzaji wa nyumba,viwanja,mashamba lipo na lilikuwepo tangia siku zote sio leo tuUuuzwaji wa Nyumba umeshamiri ssana wakuuu shida nini? Au kulipa madeni ya mikopo
Hahaaa mchongo kila kona haukwepekiDalali wa mchongo
Pamoja sana mkuuAhsante kwa taarifa...
Bado ipo sokoni?Nyumba ina vyumba 3 kimoja ni self
Stingrom
Dinning room
Nk
Size plot 800 sqm
Nyumba ina hati.
Bei Tsh 95m
Maongezi zaidi 0756060183
View attachment 2035043View attachment 2035045View attachment 2035046
Ndio mkuu na karibu sanaBado ipo sokoni?
Halafu hizo picha STINGROM haionekani kabisa, akapige tenaMbona picha zake zimepigiwa mbali kama na mpita njia tu?
Mbona picha zake zimepigiwa mbali kama na mpita njia tu?
Yeah at least..Halafu hizo picha STINGROM haionekani kabisa, akapige tena
nimeshapata wasi na wiwa kusema "litapigwa jitu hapo"Linaonekana mkuu..side mirror,na kioo cha juu.
Jitahidi kuicrop,otherwise wanunuzi wanaweza kupata wasi.
Btw mimi siyo mnunuzi.
ondoa hofu mkuu nyumba inauzwa na anaeuza ni mwenyewe na hakuna mkopo wala mnada.karibu sana hili la picha nitarudi tenawe jamaa mbona picha umepiga ukiwa ndani ya gari kulikoni?
Hahaa kupitia ukulasa huu hamna mtu kupigwa mkuunimeshapata wasi na wiwa kusema "litapigwa jitu hapo"
Sawa mkuu nitafanyia kazi ushauri huuHalafu hizo picha STINGROM haionekani kabisa, akapige tena
Mkuu karibu uone nyumba mengine yatajieleza yenyewe kwa kuona tu... haya mengine ni mafupisho ya matangazostingrom ndo helcopter kifaru,au kitu gani?