nyumba inatisha, eneo linatisha-labda uwape bure taasisi ya diniNyumba inauzwa ipo eneo la masasani, jirani na nmb Bank . Kwa maelekezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kwa namba hii 0784 511 529
View attachment 96556
Ndugu Mafuriko anaonekana kutembelea sana hiyo nyumba
Daaah mkuu umejuajeee? Haa haa haa
Mkuu acha dharau,inamaana huoni hiyo nyumba?Nyumba inauzwa au kiwanja kinauzwa?