Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Mkuu mbweni ubungo upande upi? Wa polisi au upande wa kuelekea shuleni?

Nakushauri ungewaeleza watu pale mbweni kuna sehemu inaitwa ubungo kabsa na si wilaya ya ubungo....

By the way kwa sasa mbweni kiwanja tu si chini ya 50m
Ukiwa unaelekea usalama ni mkono wa kushoto na ni mtaa wa pili kutoka kwenye lami.
Yeah kweli kabisa mkuu mengine nitayatolea ufafanuzi kwa kadri nitakavyoulizwa na wadau
 
Christian Bella kanunua huko milioni 50 kiwanja
Mkuu mbweni ubungo upande upi? Wa polisi au upande wa kuelekea shuleni?

Nakushauri ungewaeleza watu pale mbweni kuna sehemu inaitwa ubungo kabsa na si wilaya ya ubungo....

By the way kwa sasa mbweni kiwanja tu si chini ya 50m
 
Christian Bella kanunua huko milioni 50 kiwanja
Mbweni imegawanyika mkuu, kuna wanayoishi matajiri inaitwa mbweni Jkt, kuna wanayoishi wa kipato cha kushuka kidogo matajiri inaitwa mbweni malindi ndio hiyo Ubungo, kuna ile ya wenyewe unafuu kidogo inaitwa mbwen mipigi, nyingine inaitwa mbweni teta hii haileweke ila kifupi kindi cha mvua inageuka njia ya boti na mitumbwi.

Kwahyo kipato chako ndicho kitakacho kuchagulia uishi mbweni ipi mkuu.
 
Wadau hivi mnajua hii nyumba bado sijauza aiseeh!! Aaah wajameni tupambanie tupate namna ya kuishi mjini wandugu
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom