Nyumba inauzwa gongolamboto bei poa!

Mkimagi

Member
Jan 30, 2010
26
0
Salaam wana forum!
Kuna nyumba nimeamua kuiuza ipo gongolamboto B.Details zake ni kama ifuatavyo:-
1.Ina fensi
2.3rooms plus 2 rooms outside in total there are 5rooms
3.Choo cha ndani na bafu pia na nje.
4.Sehemu ya kulia chakula na sebule kubwa
nyumba ipo karibu na barabara,jirani na shule ya msingi ya gongolamboto B.
Hati na documents zote zipo.Biashara ni maelewano ndugu zangu.
Contacts me at.
Shukusagati@gmail.com
NB.
Madalali wa uwakika mtakubalika
 
Mkimagi
Junior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Sat Jan 2010
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts

Huyu hana lolote kaja JF kutangaza biashara yake ya nyumba ndio maana post yake ya kwanza kabisa ni Tangazo la kuuza nyumba, kwanza kwanini hakupost hii thread yake kule kwenye forum ya matangazo?..kweli kuku mgeni hakosi kamba mguni.
 
Sioni tatizo lolote hapo mwache atangaze biashara yake ukipenda changia usipopenda kuna thread nyingi za kuchangia, Nafikiri nimeeleweka.
 
madalali wa nini sasa, weka bei kisha uone mwenyewe watu watakavyomiminika badala yakutuambia habari ya dalali wauhakika.

Hiyo point mzee anatumia madalali tena? Hajui hao watu wanaumiza sana vichwa sasa hivi mjini, yaani wenyewe wanakaa katika vijiwe wanasubiri mwenye hela zako uumie ujenge nyumba na kisah wenyewe wnakula kwa kukamua kiurahisi kabisa. Au yeye ni dalali katika haya mauzo?
 
Mkimagi
Junior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Sat Jan 2010
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts

Huyu hana lolote kaja JF kutangaza biashara yake ya nyumba ndio maana post yake ya kwanza kabisa ni Tangazo la kuuza nyumba, kwanza kwanini hakupost hii thread yake kule kwenye forum ya matangazo?..kweli kuku mgeni hakosi kamba mguni.

Mbongotz hamtofautiani sana bana yeye sat wewe thurs nini unacomplain labda umemzidi access ya net na idadi ya posts na thenksi kwa wingi teh teh teh
 
Salaa tena wana forum.
Nashukuru kwa ushauri wenu.
Nitapiga picha nyumba yote na sehemu mhimu ili mpate kuiyona.
Asanteni sana sana kwa ushauri wenu.
 
weka picha na bei yake.Kutakuwaje na maelewano bila ya ww kuweka bei kwanza?Weka picha na bei pls
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom